pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 6,001
- 4,314
Huyo Jamaal sijui kaponaje kifungo cha maisha jelaHabari,
Nachukua fursa hii kuwatahadharisha wanawake wanaochepuka wapunguze kujiamini kulikopitiliza kuwa hata wakifumaniwa hakuna kitakachotokea.
Kwa matukio ya sasa hivi na visasi inaonekana wanaume wameingiwa na roho za kikatili na kishetani.
Matukio kama....
1. Gunia 2 za mkaa huko Kigamboni
2. Yule dogo wa pwani kumchoma kisu mwanamke wake.
3. Yule jamaa wa musoma kucharanga mke na watoto
4. Kuna tukio la jamaa aliyechinja mke
5. Kuna huyu mwamba hapa chini aliyekula miaka miwili kwa kuua bila kukusudia nk.
Hivi Ina maana sasa hivi wanaume hawataki kutoa talaka tena?
Kama wahanga ni watoto, hapa mbona watoto wanabakia yatima duniani.
Wachepukaji muwe makini sana, yaani extra careful na wanaume mzikatae hizo roho za mauti maana mwisho wa siku ni watoto ndiyo wanataabika zaidi.




