pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 6,499
- 4,900
Huyo Jamaal sijui kaponaje kifungo cha maisha jelaHabari,
Nachukua fursa hii kuwatahadharisha wanawake wanaochepuka wapunguze kujiamini kulikopitiliza kuwa hata wakifumaniwa hakuna kitakachotokea.
Kwa matukio ya sasa hivi na visasi inaonekana wanaume wameingiwa na roho za kikatili na kishetani.
Matukio kama....
1. Gunia 2 za mkaa huko Kigamboni
2. Yule dogo wa pwani kumchoma kisu mwanamke wake.
3. Yule jamaa wa musoma kucharanga mke na watoto
4. Kuna tukio la jamaa aliyechinja mke
5. Kuna huyu mwamba hapa chini aliyekula miaka miwili kwa kuua bila kukusudia nk.
Hivi Ina maana sasa hivi wanaume hawataki kutoa talaka tena?
Kama wahanga ni watoto, hapa mbona watoto wanabakia yatima duniani.
Wachepukaji muwe makini sana, yaani extra careful na wanaume mzikatae hizo roho za mauti maana mwisho wa siku ni watoto ndiyo wanataabika zaidi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hujui kama uncle anahamishia bahari kule??? Soon kutakuwa pwani kushinda zanzibarKhaaa... Chattle nayo ni pwani? Au kwakuwa anko kawajengea bandari ya kisasa?
Kuchepuka ni dalili mojawapo kwamba hakuna UPENDOHabari,
Nachukua fursa hii kuwatahadharisha wanawake wanaochepuka wapunguze kujiamini kulikopitiliza kuwa hata wakifumaniwa hakuna kitakachotokea.
Kwa matukio ya sasa hivi na visasi inaonekana wanaume wameingiwa na roho za kikatili na kishetani.
Matukio kama....
1. Gunia 2 za mkaa huko Kigamboni
2. Yule dogo wa pwani kumchoma kisu mwanamke wake.
3. Yule jamaa wa musoma kucharanga mke na watoto
4. Kuna tukio la jamaa aliyechinja mke
5. Kuna huyu mwamba hapa chini aliyekula miaka miwili kwa kuua bila kukusudia nk.
Hivi Ina maana sasa hivi wanaume hawataki kutoa talaka tena?
Kama wahanga ni watoto, hapa mbona watoto wanabakia yatima duniani.
Wachepukaji muwe makini sana, yaani extra careful na wanaume mzikatae hizo roho za mauti maana mwisho wa siku ni watoto ndiyo wanataabika zaidi.
hhhhhh eti wine vpee ww ebu kalale.
Hhhahaa Dina ww sikuwez..nimecheka jamam[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji126][emoji126][emoji126][emoji182][emoji182]
Mamaaa sasa ukiona magunia ya mkaa uneletewa uzaa harakaa ,
Hakikisha kabla hujalaa visu vyote umeficha vyenye ncha kali vyote fungia sehemu funguo unaficha mpaka unajifichia mwenyewe [emoji23][emoji23][emoji23]
Maana haya mambo ya kuishi na adui yako kazi kweli na hapo hujui ni kama adui
Au we una ushauri mwingine
Waambie wote waume kwa wake waache kabisa kuchepuka.Kuchepuka kwa makini ndio mdudu gani?.Habari,
Nachukua fursa hii kuwatahadharisha wanawake wanaochepuka wapunguze kujiamini kulikopitiliza kuwa hata wakifumaniwa hakuna kitakachotokea.
Kwa matukio ya sasa hivi na visasi inaonekana wanaume wameingiwa na roho za kikatili na kishetani.
Matukio kama....
1. Gunia 2 za mkaa huko Kigamboni
2. Yule dogo wa pwani kumchoma kisu mwanamke wake.
3. Yule jamaa wa musoma kucharanga mke na watoto
4. Kuna tukio la jamaa aliyechinja mke
5. Kuna huyu mwamba hapa chini aliyekula miaka miwili kwa kuua bila kukusudia nk.
Hivi Ina maana sasa hivi wanaume hawataki kutoa talaka tena?
Kama wahanga ni watoto, hapa mbona watoto wanabakia yatima duniani.
Wachepukaji muwe makini sana, yaani extra careful na wanaume mzikatae hizo roho za mauti maana mwisho wa siku ni watoto ndiyo wanataabika zaidi.
Wachepuke kwa tahadhari, wasijiamini kupitiliza.... Waelewa wameshanielewa
Ni asili yetuWanaume je??? Mna hati miliki ya kuchepuka? Mbona tahadhari imetolewa kwa upande mmoja?
OkayNi asili yetu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Yaan sasa hivi ni kuhakikisha mmelala umeficha kisu,mkaa nunua wa kupima akileta gunia kataa
Tahadhari ichukuliwe kwa wote jaman sabb hata wanawake pia wakipata maumivu makali huwa wanalipizaYaani wewe ๐ ๐ ๐ ๐
Wewe Chepuka tu Atoto lkn chukua tahadhari daima usikamatwe, maana ukikamatwa ni different story kwenye mambo mengi sana aseee na zaidi inategemea na huyo mtu wako unayemsaliti ama ana roho na akili nyepesi au ana strong heart and mind asiwaze kukudhuru
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nacheka lakini kuna kitu umenitouch sana sana..basi tu kwakwel ndoa hizi
Tahadhari ichukuliwe kwa wote jaman sabb hata wanawake pia wakipata maumivu makali huwa wanalipiza
Wapo wanaume wamepata maradhi mpaka kifo chanzo Ni wake zao sema inakuwa indirect huwezi kumhusisha mkewe moja kwa Moja
Mnatiaga sana huruma nyie wanaume tuheshimianeni tu jamani kama ambavo huwezi kuhimili maumivu mwenza wako anapoenda kula kwa jirani hata sisi pia hatuwezi kuhimili basi tunajikaza tu haswa ukiangalia watoto
Yule jamaa ni katili Sana, Na yupo smart Sana kiasi cha kuamini haya maelezo kuwa eti alichepuka yeye.Just to put records clear, mdada aliyeuliwa na Mume wake na kuchomwa na gunia mbili za mkaa chanzo si mwanamke alichepuka Bali ni mwanaume alikuwa anachepuka.
Baada ya mke wake kugundua ugomvi wa hapa na pale mauti yakamkuta.
Mume wake alidhibitisha hilo.
Asante kwa kutushauri ila na nyie muache kuchepuka. Yaani mnachepuka na bado tukiwakamata inakuwa kosa jamani?