Wanawake mnaochepuka kuweni makini.

Hamna kitu kinaitwa kuchepuka kwa mwanaume,anayechepuka ni mwanamke mwanaume anaenda kwa mke mwenzio hachepuki.mwanaume ni wa wote mwanamke ni wa moja.
 
Mwanaume hachepuki.
 
So sad[emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86]
Alafu utakuta jamaa aliyemlewesha kauchuna kama vile hajui nini kimetokea
 
Mkuu kwani unafikiri hayajanikuta basi?

Ipo siku nitaleta ushuhuda wangu humu, lkn km ulivyosema hakika inauma ila usipokuwa strong akilini na kwenye moyo utaacha wanaokupenda wengi wakitaabika kisa Kima mmoja tu.
usisahau kuleta mrejesho
 
Eee ukiacha vitu hivyo utachinjwa ukiwa umelala au kuchomwa
Sasa tunahakikisha tunaficha vitu vyote vinavyohatarisha usalama wetu [emoji12]
Wine [emoji485] vepeee [emoji39]
hhhhhh eti wine vpee ww ebu kalale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…