Wanawake mnageuka chuma ulete

Yaani kwa muda huo hapo anakwambia kimafumbo kwa kukuomba hela ila atakulipa kwa kukutunuku mbususu
ahahah unatafuta ugomvi mkuu, afu nyapu sio big deal sana kwangu mzee so sibabaishwi nazo hizooo kaka waache wawapige wazembe
 
Kuna wanaume wanalalamika huku kuombwa efu5 efu10
sema kuombwa ombwa 5k na 10k na wanawake wasio demu zake, usivutie mizan kwako.

kuomba inaweza kuwa once or twice sio mbaya kuombwaombwa hio ni mara nyingi yani ni kama tabia yako, so boring
 
Ni kupanga tu bajeti utaona vyote vinawezekana nilichogundua wabongo hatuwekagi bajeti ya pesa za starehe.

Bajeti tu mbususu unakula na bado mambo yako yanaenda
ukiwa na main yako mmoja unasave gharama nyingi kaka zisizo za lazima, imagine hawa wangekuwa official side chicks siningekamuliwa hadi mifupa
 
ahahah unatafuta ugomvi mkuu, afu nyapu sio big deal sana kwangu mzee so sibabaishwi nazo hizooo kaka waache wawapige wazembe
Hahahaa mimi nyapu ndo ugonjwa wangu. Kihalisi mwanamume unatakiwa angalau kwa wiki usuuze rungu mara 4 hapo ndo linapokuja suala la kuwa na mamanzi wa kutosha
 
Hahahaa mimi nyapu ndo ugonjwa wangu. Kihalisi mwanamume unatakiwa angalau kwa wiki usuuze rungu mara 4 hapo ndo linapokuja suala la kuwa na mamanzi wa kutosha
ahahaha kawaida sema inategemea na afya ya mhusika kama hauko freshi hata mara 1 kwa mwezi na majukumu pia ,
 
Aisee nimekata mawasiliano na takribani girls wote kwenye simu yangu sababu ya vizinga

Yaani wakikuona unavaa vizur mwanaume wanajua una hela

Juzi kuna mtoto wa mtu hata kumkula bado na ana kazi eti ooh nimtumie laki moja

Mara mwengine nikamcheki nipo maeneo flani njoo tupige story eti ooh saiv nipo class na nina njaa kinoma twende basi ukaninunulie chips kuku


Mwengine nimechat nae facebook yupo tanga kila siku malalamiko kua mara jua kali mara hivi

Jana kanitafta eti nimseidie mtaji japo wa 50,000

Kheeeee
 
List ndefu mkuu.... Baki njia kuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…