Kanuni ni ile ile mkuu..Mkuu huwajui hawa viumbe, wakiona kuna dalili ya pesa namba yako wataipata tu bila hata kukuliza na utategwa kwa kila namna kiasi kwamba kama ni mwanaume lijali sio rahisi kuchomoka
sema kuombwa ombwa 5k na 10k na wanawake wasio demu zake, usivutie mizan kwako.
kuomba inaweza kuwa once or twice sio mbaya kuombwaombwa hio ni mara nyingi yani ni kama tabia yako, so boring
Washamba hao wanapigwa alafu wanajiona wajanja. kitu ambacho hawakijui iyo iyo text moja ya kuombwa hela inaforwardiwa pia kwa wanaume wengine sio chini ya 10 na watakaotuma muhamala wanaonekana mafala kwa hao mademu.Asante kaka kweli kabisa japo kuna miamba naona inawatetea hao ombaomba
Ndo maana mimi nataka tuelewane mapema pale pale on the spot anitajie bei tukimalizana geto hatujuani tena nitamtafuta nikimwitaji ila hili la kuwa mfadhili wake wa kodi, bill ya umeme, gasi, maji , vikoba n.k hapana kwa kweliKanuni ni ile ile mkuu..
Ukikubali kuingia kingi na Kuwakula lazima na wewe uliwe!
Naomba afu 3 tu basi!Ndo ivo
Pointi kaka wawaombe mabwana zao tusibebeshane majukumuSee u at the top
Hizi chupi ukizikenuria meno sana hupig hatua
Af mbaya zaid wanaowageda wapo
Ahahaaha afu ukiweka bando sitafutwi hadi bando linaishaaNilikuwa nasema naomba aftatu, niweke bundle


Hii nzuri kaka sio mara kodi imefanyaje mwishowe mzigo hupati anakuona boya sanaNdo maana mimi nataka tuelewane mapema pale pale on the spot anitajie bei tukimalizana geto hatujuani tena nitamtafuta nikimwitaji ila hili la kuwa mfadhili wake wa kodi, bill ya umeme, gasi, maji , vikoba n.k hapana kwa kweli
Ahhahaa enough ndugu haya mambo tufanye kwa kiasi ukiwazoesha wanaona ni haki yaoToa Mzee utabarikiwa na Mungu.
Ahhahaa enough ndugu haya mambo tufanye kwa kiasi ukiwazoesha wanaona ni haki yaoToa Mzee utabarikiwa na Mungu.
Mkuu sukatai wengine story zao zinafahamika wana life gumu kidogo, mwingine kwao ushuani, mwingie kaajirilwa, mwingine anaduka sasa ndo nashindwa elewa shida nnKama uchumi inaruhusu wasaidie, wanapitia kipindi kigumu Sana. 1
1.ajira Hakuna
2.waoaji Hakuna
3.wazazi choka mbaya walitegemea elimu ingewaondolea mizigo