The Garang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 2,890
- 4,865
- Thread starter
- #101
Yes mkuu afya ikiwa mbaya show znapigwa za kiwango cha changaraweHilo nalo neno sababu hapo ni ya kiafya hasa

Zipo kaka vipi Huko Colorado nao ni hivohivobongo pia kuna hizi tabia
Hakika kaka yani ukipendeza kidogo basi wanajua pesa zipo, nishawahi ombwa laki 3 na mdada amlipie mdogo wake ada hadi nikashangaa huyu dada mie kaniona napesa nyingi sana eeeh, nikasema sina kwa sasa nimeingiza kwenye biashara zangu.Aisee nimekata mawasiliano na takribani girls wote kwenye simu yangu sababu ya vizinga
Yaani wakikuona unavaa vizur mwanaume wanajua una hela
Juzi kuna mtoto wa mtu hata kumkula bado na ana kazi eti ooh nimtumie laki moja
Mara mwengine nikamcheki nipo maeneo flani njoo tupige story eti ooh saiv nipo class na nina njaa kinoma twende basi ukaninunulie chips kuku
Mwengine nimechat nae facebook yupo tanga kila siku malalamiko kua mara jua kali mara hivi
Jana kanitafta eti nimseidie mtaji japo wa 50,000
Kheeeee
Karibuu tena mkuuNitarud apa apa wakuu nyie nisubirieni!!
Hakika nakubaliNdio hivyo walivyo ndio maana tuliambiwa tuishi nao kwa akili
Out of 10 mmoja ndio naweza sema demu wangu, hao ni classmates, jirani na marafiki tuList ndefu mkuu.... Baki njia kuu
Halima noma akampakazia na kifo kabisa kaka wa watuAmani iwe nanyi wana MMU. Long live JF.
Ebwaana eeeeh twende kwenye mada sasa kumezuka tabia moja ya kimalaya na kiwaki sana sikuhizi sijui ni upande wangu au na wengine pia mtaleta shuhuda. Mademu wanapiga mizinga mbaya sana awe ni demu wako, uwe rafiki yake, uwe jirani yake ni vibomu kwenda mbele.
Hivi ladies kwenye magroup yenu hayo ya fb na WhatsApp huwa mnakaa na kukubaliana kima cha chini cha vibomu ni 5k. Week takribani mbili hadi tatu hadi sasa napokea maombi ya pesa kana kwamba nimeshindaa lottery somewhere na kutangazwa mshindi kwa Millard Ayo.
Msione mtu kavaaa mtumba wake vizuri kapafyumu ka buku 2 saa ya 5k mnahisi anapesa sana.
1. Faidhati, huyu ni jirani yangu, sikuwahi kuwa na namba yake ya simu, kuna mishe ilitokea tuka exchange namba, ni mke wa mtu na mmewe ni jamaa yangu, aiseee huyu dada anapiga michuno kinomaaa. Mkikutana ninunulie soda mara juisi mara hiki, nimeshamnunulia mara 2 ya tatu nikachomoa. Juzi kati hapa kaniomba 6k nikaona ngoja nimbless hazijapita siku nyingi Leo asubuhi ananiomba 5k nikasema sina.
2. Anna, huyu nlimla kimasihara dec 2022,. Baada ya hapo mara kodi imefanya nn shida nyingi sana. Kuna siku ananipigia simu mara kwa mara nikajua hapa kuna kupigwa na kitu kizito, nikapokea badae late night ananiambia hajalipa luku ya umeme huko alikopanga na nizamu yake, nikasema sina hio pesa akajibu nitafanyaje sasa nikamtell utafanyaje kiaje kwani hukujua kuwa we ndio unafata kulipia luku ya umeme au imekuja ghafla,oooh nlisahau sijui nini nikasema ndoivo sina ,mara niombee basi kwa marafiki zako nikaona huyu mpuuzi mie nianze kukopa 5k kwa jamaa kisa yeye si kujichora huku. Nikapiga chini saiv akipiga simu namuwahi ye naanza kulalama maisha magumu mambo yangu hayaendi basi nikopee hata hela kidogo, kuna muda simtafuti akija nicheki yeye namwambia sina hata hela ya bundle.
3. Mwajuma, huyu anafanya field huko Dsm, kuna mwaka nlikuwa navipesa kidogo nlimsaidia 30k dadake alikuwa hana kodi ya nyumba na anataka kufukuzwa, nikamtell baki nayo hiyo 30k usinirudishie. Next time akaazima 30k this time nilimkomalia hadi alirudisha. Juzi kati hapa kanipigia story kadhaa akaanza lalama mara sijui kapauka mara njaaa tu nikajua huu mtego nikamtoa huko nikasema anawazazi wanapaswa jua hilo. Kidogo akatuma kibomu cha 5k nikasema sina yakaisha.
4. Asia, huyu ni katoto ka 2000s huko hata sijui kalinizoea ajee, alikuja na swaga ananielewa mie nikashtuka tangu lini swala ajipeleke kwa chui, nikawa nishajua target yake. Siku nimeenda kwao ananiambia habari za ujenzi wa nyumba yao ulivogoma kisa pesa nikasema akomae tu wamalizie blaaa blaaaa sijui nlimtoka vipi. Juz kati kaomba 4k nikachomoa sina ikaisha . Huko nyuma hivi vhela vya vocha nimetoa kama mara 2. Sahivi simcheki maana najua nikimcheki ntaanza kuombwa hela.
5. HALIMA ,HUYU SASA NDIO KINARA WA MIBOMU FIELD MARSHALL MWENYEWE, HUYU MKICHATI SIKU 5 HAPO SIKU 3 KAKUPIGA KIBOMU, JUZI KANICHEKI KWA SMS NILIVOONA TU ILE SMS NIKAJUA KUNA KUPIGWA NA BOMU HAPA NIKAMUTE JANA NIKAMCHEKI , ILE NIMEMCHEK TU ANAOMBA KAMA 6K HIVI NANI SIJUI ANAUMWA ,NIKAMTELL MIE SINA PESA MWAMBIE BABAKE AHUDUMIE MWANAE HEEEEE KWANINI NISIAMBIWE JAMAAA KAFARIKI WAKATI BWANAKE NI JAMAA YANGU. NIKAONA HII SHIDA.
7. Grace, huyu vibomu vyake vya kistaarabu 5k sana sana, huyu nlihisi anadawa, ile siku Yanga anajiuliza kwa Ihefu pale Mkapa nlipokea ka senti kadhaa, hata masaa 2 hayaisha naomba nsaidie 5k nina shida sana. Nikaona huyu jamaa angu sana ngoja nimbless.
8. Bela, huyu huwa tunaitana bosa kama matani na kwao ushuan then juzi from nowhere anantumia kibomu, nikaona sio mbaya huyu wakishua anaweza kuja nsaidia hata ye huko mbele nikambless.
9. Jojo, niko zangu mjini WhatsApp nazugazuga late night hours, inaingia sms mambo na vi emoji emoji, poaaa vp, shwari naomba nisaidie kitu kama waweza. , Eeehee nambiee nn ,,, yeye naomba nsaidie pesa xxxx nilipee luku imeishaa nikopeke yangu naogopa giza. Daaaah nikicheki huyu ni mtoto mmoja wa kishuaa sana nikajiuliza maswali mengi nikaona sio mbayaa kademand kiwango kidogo tu cha pesa afu ndo first time yake nikambless pale ,kanirudishia makopa mengi mengi nikamuona jau huyu mbona hajawahi ntumia before huyu yuko kimaslahi zaidi mkono mtupu kweli haulambwiii.
10. Yusra, huyu anapenda sana maisha ya uzungu na yakwenye movies za Korea huko, asione kiatu kanitumia picha nimnunulie, asione saa asione mkoba kanitumia picha heeeee. Siumpe expenses hizo jamaa anaekufaidi aiseee mbona pigo za kiwaki sana. Mbaya zaid ni mfanyakaz wa ISP moja kubwa sana Tz hapa. Nonsense.
Hao wachache, MY POINT hasa wadada mliozalishwa na wale mnadate sumbueni haohao mnaowapanulia miguu wawape pesa za mahitaji, kuna kukwama kawaida kibinadamu siku moja au mbili unasaidiwa ila sio kugeuzana kama ndio wahusika wahao watoto wenu mahitaji tutoe outsiders, NEVER.
Wengi nimekuja gundua wanacheza michezo ya 5k kila mwisho wa week au katikati so sie ndio tunageuka walipa hizo 5k, hapo unayeombwa pesa hauko peke yako mnaombwa wengi assume kawaomba watu 10 , 5 wakatiki sianakuwa na pesa nyingi sana hapoo, haloooo haloooo shtukeni wajuba huuu ujingaa tuache.
MENS,DONT FEED THE HORSE YOU DON'T RIDE.
Hela ngumu kupata tupunguziane majukumu, huu mwaka nimejiandaa kupoteza marafiki wengi kwa kuwanyima pesa.
Mkuu huwajui hawa viumbe, wakiona kuna dalili ya pesa namba yako wataipata tu bila hata kukuliza na utategwa kwa kila namna kiasi kwamba kama ni mwanaume lijali sio rahisi kuchomokaTatizo unamiliki timu nzima ya manzi, ndo sababu unalia lia!
Wahenga walisema 'Mtaka nyingi nasaba hupata mingi misiba..'.
We fanya kutulia na mmoja, utanishukuru baadaye!
Mkuu umefanya jambo zuri kuto wa-entertain hawo malaya kwani ukicheka na nyani utaishia kuvuna mabua. Misichana ya siku hz ipo kimaslahi zaidi, mipuuzi kweli!Amani iwe nanyi wana MMU. Long live JF.

Mwanamke mmoja tu anakuchuna mpaka akili zinakutoka, sembuse uwe na wengi! Hawa viumbe wanatafuna zaidi ya viwavi jeshi.Mkuu hutakiwi kuwa na marafiki wengi wa kike.kwanza mnawakutaga wapi na mnaanzaje
Bonge ya ushauri aiseee!!Tatizo unamiliki timu nzima ya manzi, ndo sababu unalia lia!
Wahenga walisema 'Mtaka nyingi nasaba hupata mingi misiba..'.
We fanya kutulia na mmoja, utanishukuru baadaye!
Yes kakaHalima noma akampakazia na kifo kabisa kaka wa watu

na jamaa sijataka hata kumuuliza maana najuaa watagombana tuKweliii kabisaa wako kimaslahi zaid na hawana kitu ya ku offer zaidi ya nyapuMkuu huwajui hawa viumbe, wakiona kuna dalili ya pesa namba yako wataipata tu bila hata kukuliza na utategwa kwa kila namna kiasi kwamba kama ni mwanaume lijali sio rahisi kuchomoka
🤣🤣🤣 na ukipona ni mwendo wa ku-compensateYes mkuu afya ikiwa mbaya show znapigwa za kiwango cha changarawe
Asante kaka kweli kabisa japo kuna miamba naona inawatetea hao ombaombaMkuu umefanya jambo zuri kuto wa-entertain hawo malaya kwani ukicheka na nyani utaishia kuvuna mabua. Misichana ya siku hz ipo kimaslahi zaidi, mipuuzi kweli!