miss gisenyi
JF-Expert Member
- Feb 21, 2015
- 699
- 500
tunawapenda ila muda mwingine mna vibur hamsikii ni bora nikae kimya kuliko kupayukaMmmh,simamieni nyumba zenu ili kuwaweka waume zenu kwenye mstari mnaoutaka.
Msikae kimya,mnaua familia...cha msingi, msipayuke bali kwa upole.Twapenda kudekezwa...kuambiwa ukweli ni bora sana.
The Great Gatsby
Huu ni ubinafsi na kujidharaurisha tu mkuu. Gegeda ipasavyo weka heshima.Mbona wanaume huwa tunaridhika mapema tu!
Wanakaaaga dakika ngapi kifuaniiiii jmn nidaisieMwanaume anakaa kifuani dakika saba analalamika?
Wengine hata dakika tatu ni nyingi.
Kwamwanaume ni ujinga kupambana na ulikotokea wakati wa kuja duniani..!siri zipo nyingi tu
Ni kuenjoy tuKwamwanaume ni ujinga kupambana na ulikotokea wakati wa kuja duniani..!
Hizi mambo za mapenzi ukijitia ujuaji utawehuka bure, kidonda chenyewe hakiponi miaka nenda rudi afu ujisumbue eti unakitonesha utakiwezea wapi??
Pale mimi napitisha john usikie usisikie sikubali kutumikishwa aisei..!Ni kuenjoy tu
Ha ha ha roho mbayaPale mimi napitisha john usikie usisikie sikubali kutumikishwa aisei..!
Eti roho mbaya kwa lipi km uridhiki nakununulia doldo sitaki shida mimi..! Pesa nikupe afu unitumikishe tena akhaah..![emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Ha ha ha roho mbaya
Basi sawaEti roho mbaya kwa lipi km uridhiki nakununulia doldo sitaki shida mimi..! Pesa nikupe afu unitumikishe tena akhaah..![emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Unafaa kuolewa wewe unajua kufikiria ya Leo nakeshoasinirudie na magonjwa tuu Mungu saidia,,huwa sishindani nao unafanya ujinga nakuambia kitaratibu ukirudia nakupa na hongera kabisaa maana kichwa chako ni fuvu tuu na steki za usoni hauna ubongo
Huo muda muafaka na eneokwanini msiwe mnavitafuta nyie? Si ndio vichwa nyie au!!!!!Hapana,tafuta eneo na muda muafaka...u'll settle things tu.
The Great Gatsby
Dakika 7 zenyewe yawezekana ni zile za kusubilia inapita dk anashitua natulia akija tena mara moja anashitua antulia akija tena yaaaala wazamaniiii[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mwanaume anakaa kifuani dakika saba analalamika?
Wengine hata dakika tatu ni nyingi.
Unafikiri huyo wa dk 7 hana vimada huko nje si ajabu huko anako msema mkewe hajui mapenzi ndiko anako malizia haja zake kwa mkewe anatafutia usingizi tujirani za masiku??mwanamke mwenye staha huficha siri za mpenzi/mumewe kasoro zipo kiukweli mwengine hayuko romantic mambo yanaenda kiroboti,yupo yupo tuu hana kauli nzuri,sema twastahi kuwasaidia mbele za watu
Ukimkosoa anasema unagubu na mdomo sana hauliziki wewe mwanamke, sasa nikukimbiza mwizi kimya kimyawakishafunzwa huko wanakuja kwa upole ndani na unyenyekevu juu... jirani hakuna haja ya kupambana ni kuwaacha tu