ASANTE MKUU,KUMBE NILIKUWA NADANGANYWAanapenda nan hvo?ukipata mke mpole acha ubabe kuwa rafiki wa mpenzi/mkeo
Mimi simsemi vibaya x wanguLazima akusifie
Sijawah kuona mtu kaachana na mtu akamsema vizuri.So usipate bichwa sana.
usimuonee mkeo ndo nnachomanishaASANTE MKUU,KUMBE NILIKUWA NADANGANYWA
Zaman hv kuna jamaa mmoja alikua katumix wadada wawili at once..nilivojua nkamuuliza ss unamchagua nani...akaanza ohh wish ningewaoa wote ila ttz ndoa ya kikristo...at the back of my mind am like hv uyu kaka anajua kidude chake kilivyo kweli ..??.ama kisa tunakaaga kimya na kufake mtu anajijengea confidence... Mtu kumridhisha mmoja shida wawili atawezaje...sikuwahi kummwambia ilibd niwe kimya tu mwanamke mwenzangu akapambane nacho...
NdioKwaiyo ni true "mwanaume mashine?"
Good Neighbour
Kuachwa kupo mkuu ,uzuri nilishaacha kupenda hovyo naangalia heshima,kauli za MkE than namheshim sipend wanabadilikaga hawa mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmh,simamieni nyumba zenu ili kuwaweka waume zenu kwenye mstari mnaoutaka.wakishafunzwa huko wanakuja kwa upole ndani na unyenyekevu juu... jirani hakuna haja ya kupambana ni kuwaacha tu
kuna wakati unatumia mbinu zote zinabuma unaacha ulimwengu udili nayeMmmh,simamieni nyumba zenu ili kuwaweka waume zenu kwenye mstari mnaoutaka.
Msikae kimya,mnaua familia...cha msingi, msipayuke bali kwa upole.Twapenda kudekezwa...kuambiwa ukweli ni bora sana.
The Great Gatsby
Hapana,tafuta eneo na muda muafaka...u'll settle things tu.kuna wakati unatumia mbinu zote zinabuma unaacha ulimwengu udili naye
sawa mkuuHapana,tafuta eneo na muda muafaka...u'll settle things tu.
The Great Gatsby