Wanawake mna siri sana

shida ya wanaume wengi wanapenda mwanamke asiyemkosoa so unaamua kula na kipofu,,kuna watu hawaambiliki jirani unakua mpole watafunzwa na ulimwengu
Love is so contagious miss gisenyi

Good Neighbour
 
Kwaiyo ni true "mwanaume mashine?"

Good Neighbour
 
Mtoto wa ki Puerto Rico alilia kama kapandisha maruhani, kwa Kihispania.

Gents don't kiss and tell though.
 
jirani za masiku??mwanamke mwenye staha huficha siri za mpenzi/mumewe kasoro zipo kiukweli mwengine hayuko romantic mambo yanaenda kiroboti,yupo yupo tuu hana kauli nzuri,sema twastahi kuwasaidia mbele za watu
ha ha ha KIROBOTI, KUMBE HAMPENDI?
 
wakishafunzwa huko wanakuja kwa upole ndani na unyenyekevu juu... jirani hakuna haja ya kupambana ni kuwaacha tu
asinirudie na magonjwa tuu Mungu saidia,,huwa sishindani nao unafanya ujinga nakuambia kitaratibu ukirudia nakupa na hongera kabisaa maana kichwa chako ni fuvu tuu na steki za usoni hauna ubongo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…