Wanawake mna shida gani kutaja umri wenu?

Wanawake mna shida gani kutaja umri wenu?

Mbona mm huwa nasema ukweli kuwa umri wangu ni miaka 45
Umekula kilomita balaaa..... Kumbe tukiwa tunahitaji papuch hatutakiwi kuuliza umri... Waweza poteza mood kabisa
 
Umekula kilomita balaaa..... Kumbe tukiwa tunahitaji papuch hatutakiwi kuuliza umri... Waweza poteza mood kabisa
Ni kweli mkuu nimekula kilomita nyingi mnoo sasa umri wangu wa nn unataka kunikula mm au umri wangu tukulane tu mambo za umri tuachane nazo ukitajiwa unaweza kufwa ghafla
 
Sasa hivi tu nimetoka kusoma mada yako ya mwanaume kukosa mke wa kuoa, umesema una miaka 25+.

Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu.
Sasa ulitaka nitaje kila sehemu umri wangu..? Nikiulizwa private nataja.
 
Unataka miaka au papuchii
Tusome mileage.

Nikikutongoza ikasema una miaka 30 obvious najitoa kukutaka maana najua mileage yake sio mchezo.

Katika mahusiano, mwanamke mwenye miaka 30 alafu hajaolewa kapitia au kachezea mashine nyingi sana. Ni tofauti na mwanamke alieolewa ana miaka 22, yeye kachezea mashine sana ila sehem kubwa ni mashine ya aina moja ya mumewe.

Maintanance ya gari ya zamani ni kubwa kuliko gari mpya.
 
Ni kweli mkuu nimekula kilomita nyingi mnoo sasa umri wangu wa nn unataka kunikula mm au umri wangu tukulane tu mambo za umri tuachane nazo ukitajiwa unaweza kufwa ghafla
We acha tu mkuu.. Na hv Mm 20+...basi balaa tupu... Makeup huwa yadanganya Sana mkuu.... Ukinitajia 45 huwa mawazo jinsi pubic hair zilivyo anza kuwa white.. Mood inapoteaaaa.. Hahahaaaaaa don't tell me Your age
 
Kwahiyo ukishaijua unabandika sebuleni kwako, mtu hamhusiani ni mpenzi wala ndugu yako umri wake wanini unataka kutambika????
 
Back
Top Bottom