Wanawake mna nini na wanaume hawa?

Wanawake mna nini na wanaume hawa?

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
1,224
Reaction score
1,258
Hawa ni miongoni mwa wanaume ambao kwa dada zetu wengi tu hapa duniani wanawamezea mate.Mmoja anaitwa William Levy anatokea CUBA na mwingine anaitwa John Dumelo anatokea GHANA.Hakina wanalalamika sana kwa kupendwa na wanawake.Wanawake mna siri gani ya kuwapenda wanaume hawa achana na umaarufu wao maana kuna tukio liliwahi kutokea la kupigwa mwanamke mmoja kwa kisa cha kumpenda huyo JOHN DUMELO mpaka akaachana na mume wake.Wanawake tuambieni mnawapendea nini wanaume hawa?
10407655_859621110760896_731490135664553686_n.jpg
12806144_10153307029306646_7630320286941915946_n.jpg
 
Jibu simple ni 'uanaume' wao, in English tuseme 'masculinity' by body features na tabia
 
Mnnhh... Acapulco wewe ni she au he!??
 
Back
Top Bottom