Mi mwenyewe sijui ila kusifiwa kuna nifanya nakuwa comfortable sasa ikitokea na anayetoa sifa ana vigezo vingine Mf. mrefu, intelligent& brave, humble, hardworking, self displine etc etc najikuta na fall in love!
Yani hizo sifa zinakuwajekuwaje bado sijaelewa! Yan from nowhere unakutana na mtu anakusifia umependeza afu baada ya hapo mnaenda kubanjuka ama??
sio kweli kama ingekua hivyo baadh ya Watu wangekua na bunch of people
Tunapenda kutumia muda mwingi kupendeza,uki appreciate hizo effort tunajiskia vizuri hence.........mazingira yakiruhusu.,
Really??
Mm nianze kukusifia tukabanjuke?
Asante kwa kuwa mkweli!
Lakini uzuri najua kuwasomeni katikati ya mistari
Hata hapa nimekuelewa vizuri kabisa!
hhaha endelea kunisoma
mi kuna mwingine anasifiaga huyo mie najibu shortly thank u
Mara umependeza.;mara we kila nguo inayovaa inakupendeza ni work mate huyo. najua anachotaka mie nampotezea tu namjibu shortly asante. naona kachoka siku hizi
hutonipata ng'o..
Hujampenda?
Hahahahahha r u sure?...
Neylu .......Hahahaaaa....Hakuna mtu asiyependa kusifiwa hilo tukubali..!!
Mungu mwenyewe anapenda kusifiwa ndio maana huwa kuna nyimbo kibaaao za kumsifu.
Ila pamoja na hayo... Sioni kama kuna uhusiano wowote wa kusifiwa na kumkubali mwanaume..!!
hhaha endelea kunisoma
mi kuna mwingine anasifiaga huyo mie najibu shortly thank u
Mara umependeza.;mara we kila nguo inayovaa inakupendeza ni work mate huyo. najua anachotaka mie nampotezea tu namjibu shortly asante. naona kachoka siku hizi