Wanawake mna nini na hii kitu?

si kweli kama kakubali kubanjuliwa jua na yeye alitaka kuwa na wewe si kwa sababu ya sifa,kwanza wengi wetu hatupendi sifa za uongo na kweli,ni ushamba wa hali ya juu
 
Sidhani ...................!!!!!!!!
 
ninaafiki asilimia mia coz nna statistics za nliowahi kuwabanjua kwa kigezo cha sifa ni takribani kumi na nane kati ya ishirini na moja nlowahi kuwabanjua
 
Hii waione Kaunga na Kat p.h !!
 
Last edited by a moderator:
Kinachokufanya uwe unamchekea bosi wako hata aongee pumba ni nini? Hicho hicho kinakufanya umsifie mwanamke "kujikombekeza" mwanamke kama binadamu anajisikia kuthaminiwa akisifiwa
 
Mkuu Eiyer ukimpa sifa hata zingine sio zake kama HAMNA hela haupewi tamu kaka!

Sifa zinaendana na kutoa mshiko kaka hapo ndipo utasikia "yaani wewe nilikuwa nakupendaga siku nyingi ww tu ulikuwa huwezi soma mawazo yangu"
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Eiyer ukimpa sifa hata zingine sio zake kama HAMNA hela haupewi tamu kaka!

Sifa zinaendana na kutoa mshiko kaka hapo ndipo utasikia "yaani wewe nilikuwa nakupendaga siku nyingi ww tu ulikuwa huwezi soma mawazo yangu"

Unadhani hili ni la kuambiwa?

Nimelishuhudia mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…