Wanawake mna magonjwa mengi jamani!


mimi nakuogopaga cjui kwanin nikiona post yako natetemeka,yaaan du cjui ni assumption zangu but ckupatii picha ulivyo
 
Kwa iyo wazazi wake ni wa nini?

aah kama ni jukumu ni la wazazi bac usimgegede bado yupo chini ya wazazi wake,ukimuoa ndo atakuwa jukumu lako kwenye matibau na kila kitu plus kumgegeda,kama hamtaki kuwahudumia bac msiwachebe pia,wasubirini ivo ivo
 
Sa akinidanganya ivo unategemea nitaomba gemu tena!! ka nilikua na mpango wa kuoa nitaendelea kua nae?
Kwa kifupi apo nam-block tu akatibiwe na wazazi wake.

so we kijana uko after chomoa chomeka!!? ila ni afadhali tu uwe na tahadhari mapema! kuna wengine ule mwendo baba anazimikia kifuani! sasa sijui utaendelea kuchimba dhahabu?
 
Nje ya mada.
Jana jioni nilikutana na mdada, nikadhani yuko chuo, nikamwomba namba,kumbe anasoma kidato cha 3 ili kuthibitisha hajanipa namba ya gari, nikam-bip. Bahati mbaya ni sikuisevu, nikijua ni mtoto.
Asubuhi hii kabla ya saa moja nakuta msg ya tafadhali niongezee hela.
Ikabidi nipige kwani ni namba ngeni kwangu, akadai ni "mimi yule wa jana niliyekupa namba".
Sasa najiuliza, ivi nyie wanawake, mnadani wanaume mda wote tuna hela tu?
Afu hata hatujakaa kuongea na kuzoeana kweli?
Ivi sisi tukiwaomba mbunye bila kuzoeana tena barabarani mtatupa?
 
Tatizo lako bahili. Bila kukuambia wanaumwa ndo hata hela ya juisi hautoi! Watakudanganyia hadi kansa nakuambia.
King'asti;
Ndio mnadai haki sawa kwa wote;
Huku mkiona mna haki ya kupewa fedha na kufadhiliwa na wanaume wenu?
Mtatumika na kutumiwa hadi mbunye zibabuke kwa msuguliwa.

Bazazi!
 
Last edited by a moderator:
Haaaaa haaa haaa haaaa jamani wanaume mna mambo..
 
aah kama ni jukumu ni la wazazi bac usimgegede bado yupo chini ya wazazi wake,ukimuoa ndo atakuwa jukumu lako kwenye matibau na kila kitu plus kumgegeda,kama hamtaki kuwahudumia bac msiwachebe pia,wasubirini ivo ivo
halafu kauli kama hizi nazichukia sana ina maana namgegeda ama tunagegedana? nini maana ya above 18 kwenye kugegedana?
 

Sasa hapo kosa nini kaka!!!!!

Ulikuwa na shida ya namba kakupa,yeye anashida ya hela tena hajataja kiwango na.unasadiki kuwa ni mtoto bado unaona shida!!!!!!!

Ye kakuomba kama elder that seems able to help,wewe unasema kwani ukiomba mbunye sijui nini,kwani uliomba namba ila uombe mbunye???!!!!If so naye alikupa ili aombe pesa!!!!!!!!

Mrushie dogo japo buku aingie bombastik wadiscuss masomo na wenzie mkuu!!!!
Mbunye utapewa na yule wa miwani!!!!
 
unakumbuka Q Chief alivyoimba "namtaka mwenye afya namuogopa wa maradhi" walikuja juu haoooo mamas gonjwa mingi bana
 
King'asti;
Ndio mnadai haki sawa kwa wote;
Huku mkiona mna haki ya kupewa fedha na kufadhiliwa na wanaume wenu?
Mtatumika na kutumiwa hadi mbunye zibabuke kwa msuguliwa.

Bazazi!
duh naomba coin to bribe the ferry man!
 

Mkuu mi nilidhani ni mapema mno, na huyu mtoto anajiweka kwe risk ya kugegedwa ka ningekua Bazazi.
Anyway nitafata ushauri wako.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…