Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 26,721
- 98,869
Wenye kunuka midomo na mawigi wafanye wabadilikeWw mwanamke au mwanaume?!
[emoji2] [emoji1]
Hopefully hapo nimeeleweka
Wenye kunuka midomo na mawigi wafanye wabadilikeWw mwanamke au mwanaume?!
[emoji2] [emoji1]
tehe tehe tehe kwa kweli alafu analialia hapaYupo fasta zaidi ya bus la mwendokasi hahahahaha!!
Kwahiyo unaunga mkono hoja?!Wenye kunuka midomo na mawigi wafanye wabadilike
Hopefully hapo nimeeleweka
Umeacha kuvaa boxer moja wiki nne??
Ni uchafu pia chiefBoxer moja kwa week nzima ni sifa ya mwanaume alie bize na utafutaji...
Siwezi kuacha...
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Hapana mbona mm nilikuwa naoga tena maji yabaridiArusha kuna baridi sana wanaogopa kuoga [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ukitaka kila kitu kukompea na mama sidhani hata mkeo utaweza kumgonga maana hata walioandika vitabu wakaichambua papuchi nao pia wana mama zao swali Je na wao wamechambua papuchi za mama zao????Jamani hivi unae mama lkn? Siyo vzr kutukana viungo vya uzazi while na ww umezaliwa kutoka kwenye hicho kiungo unachokitukana... Pili kaa ujue unavyotukana you also insulting your mother! Watch your [emoji105] !
Chapisho hili ni kwa kila mwanamke. Soma na jirekebishe haraka sana.
Wanawake wetu wa miaka hii wamekuwa wachafu kupindukia. Wachafu sana. Huwezi kufanananisha wanawake wa miaka ile ya 70 na 80 na wanawake wa sasa. Wanawake wa sasa wananuka kupita kiasi. Huwezi kumkumbatia mwanamke bila kusikia harufu aidha inatokana na jasho, au uvundo wa wigi au harufu ya kope za bandia au harufu ya mdomo.
Ukianzia kwenye nywele ndio unaweza ukalia. Kati ya asilimia 90 ya wanawake wote mawigi yao yananuka vibaya. Ndio maana kutwa kujikuna kichwani. Hata umkute mwanamke star au ni kiongozi kwenye benki, nywele zake lazima zinuke. Sijui wanaambiana.
Sasa hebu mnuse mwili wake. Harufu ya jasho kali huwezi kulikosa. Hata apake perfume vipi, kuna kale kaharufu ambacho hakiondokagi...kapo tu...kabishi.
Sasa kwa wale wanaopende denda...duuu...hapa ndio huwa pananichekesha. Sijui wanawake hawajui kupiga mswaki sawasawa. Sio kwamba hawapigi mswaki...bali wanapiga juu juu tu. Midomo ya wanwake asilimia 95 inanukaaaaa.
Kubwa lao ni hili sasa. Mwangalie mwanamke vizuri usoni halafu fananisha ngozi yake ya usoni na ngozi ya mguuni. Unaweza kulia. Hamu yote ya mwanamke inaisha ukimwangalia miguu yake. Yaani picha haziendi. Huku juu kama mtoto aliyezaliwa...huku chini sasa...utafikiri mfanyakazi wa migodini anayefanya kazi peku. Kama unajitunza, jitunze mwili wote, sio sura tuu.
BADILIKENIIIIII.
Hasa nyie mnaojifanya ma first class women. Badilikeni. Mnanuka sana na mnakera. Na mabya zaidi asilimia 95 ya wanaume wote wanashindwa kuwaambia ukweli.
Mmmnh hapana asee yule dada ana shombo mmmh plus kunyonyesha sasaMkuu kuna wanaume wengine wana karama ya kupenda vichafu.
Aaah akae na shombo lake asije kunichamba bureeee...duh huyu atakua na maambukizi ya mdudu hatari aitwaye Trichomonas vaginalis....ndie mwenye kuozesha K na kutema samaki...lakini inashangaza..maana huyu mdudu anawasha kiyama....kwa mlupo kukaa tu na mdudu huyu basi ujue ameoza...mwambie ameze Flagyl...kama unataka kumsaidia shoga yako...mwanamke mchafu ni kinyaa...hata kama ni mke wangu siwezi kulala nae...
Tehe tehe tehe kumewaka motoNimeshanunulia wasichana zaidi ya watano Deodorant eti wanasema hawazijui lakini ukiwaangalia viwalo unazimia. Nimefundisha wasichana na wanawake karibu wanne kupiga mswaki ulimi watu wanadhani mswaki ni meno tu lakini kinachonuka zaidi ni gum na ulimi ule ukakasi unaozaliana pale. Wanawake wengi walikuwa hawanyoi vikwapa hata wanaonyoa hawajioshi vizuri.
Mimi ni mwanamke ila nalisema hili sababu linauma. Unakuwa na mtu kwenye ndege hasa wa Tz na West Africa unatamani uombe kuhama kiti. Wananuka. Ndege ikifika kama JF inabidi immigration wavae vitu vya harufu sababu ya watu toka huku. Tunatia aibu na siyo wanawake tu. Wanaume nao sana tu. Ukisafiri na mwanamme akipanua mikono unatamani kutapika. Miguuu nadhani huwa soksi wanaazima ili wasafiri. Umelianza wewe ila nilikuwa nalo toka zamani.
Jamani unapopanda daladala hakikisha kikwapa kimeoshwa na deo, ulimi na gum zimeoshwa vizuri. Hakikisha kama ulikula nyama umezitoa kwenye meno ni kwa faida yako pia na wanaokaa karibu nawe kazini na kwenye usafiri.
Kujipodoa ndo kunazidisha shida. Hivi lazima kuvaa wig?? Hivi lazima kuvaa kope za bandia? Labda umri wangu unachangia lakini na mimi nilitokea huko lakini sikuvaa wig na nilikuwa na uwezo wa kuyavaa. Mengine mwende kwa kungwi wenu.