Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 13,550
- 16,631
Povu la mlengwaAlisikika akilalama mzaliwa wa 1990
Povu la mlengwaAlisikika akilalama mzaliwa wa 1990
My fellow 1990s kid , dont take this shit seriously.Sio kulalama Na nyie mnaboa bhana Ina maana Sie hatuna cha kufanya ispokua kuwa Na nyie(mapenzi)?
kwa yale masaa ya kazi tu, mida ya night hawapo wazimaHivi kwani kuoa au kuolewa lazima.......au kutongozwa.....kuna watu awajawi tongoza wala kutogozwa ila wapo fresh tu 24/7......na wala awana stress.
Sent using Jamii Forums mobile app
My fellow 1990s kid , dont take this shit seriously.
Thank you...My fellow 1990s kid , dont take this shit seriously.
Hao watakuwa wanamatatizo, mwanamke akitongozwa kunamuongezea kujiamini na kujiona na yeye ni mzuriHivi kwani kuoa au kuolewa lazima.......au kutongozwa.....kuna watu awajawi tongoza wala kutogozwa ila wapo fresh tu 24/7......na wala awana stress.
Sent using Jamii Forums mobile app
Woiiiime ndio nasubiri majibu ya darasa la 7,.niko zangu pre form one hapa area D,.
hapahapa 😂😂😂😂😂😂Under 20 tunakomenti wapi....?!
😂😂😂😂hapahapa 😂😂😂😂😂😂
Area D
Wasome alama za nyakati. Muda unakimbia balaa.Mkuu ina mana 90 waanze kupunguza vigezo dirisha la usajili limekaribia?..