Ni kosa kubwa sana kwa mwanaume kujidanganya eti mwanamke atajifunza kukupenda.
Hii dhana wanakuwa nayo baada ya kuwa loosers na wako ktk harakati ya kutafuta faraja.
Ni kosa kubwa sana kwa mwanaume kujidanganya eti mwanamke atajifunza kukupenda.
Hii dhana wanakuwa nayo baada ya kuwa loosers na wako ktk harakati ya kutafuta faraja.
Mhhhhhhh....sijui ht nianzie wapi
Mambo ya kusema utampenda baadae mhh sio aisee...muwe mmependana mana ts obvious upendo huwa haulingani,either utazidi kumpenda ama atakupenda zaidi
Usipompenda obvious kuna mtu unampenda utatafta faraja kwake or elsewhere utakapopenda...
Friendship/chemistry is important.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.