Sijui kwann sijaelewaNikupe pole na pia nikushauri kidogo. Dunia ina mambo mengi, na katika hayo mambo mengi usipende kutaka kuyajua hayo mambo kama hujajipanga kisaikolojia kuyajua, au kuyapokea yale uliyoyataka kuyajua ukweli wake. Mfano mzuri unao, na siri ya kuyasahau hayo mambo ni pale yanapokuja kichwani mwako yaache yaje na wala usipingane wala kuyawekea vikakwazo hayo mawazo, kwasababu reaction yeyote kwa kitu chochote kinatengeneza awareness kwamba kuna force inatupinga sisi na hivyo sisi(mawazo yako) hayana budi kupigana na wewe uliyeyawekea kikwazo.
nikutakie jumapili njema
Nawewe chepuka na bodaboda wako ngoma drooSwali ulijijisikiaje ulipogunduaa mume wako anakusaliti kwa mara ya kwanza??
Je ulifanyaje ukasahau na mkaendelea na maisha na upendo ukabaki pale pale?
Ilikuchukua muda gani kuizoea hiyo hali na kurudi kawaida?
Naomben kuwasilisha mada mezan
Du!Nawewe chepuka na bodaboda wako ngoma droo
Ndo maana hutaki kuoaYashamkuta huko...
Kuna watu kula kila siku kitumbua hawawezi.
Wanahitaji kesho kula andazi, then halfcake na vyengine.
Ndoa hizii "Hii bagoshaaaaa"
Tuendelee KUTAFUTA HELA.
#YNWA


Waulize "mumewe huyu alikosa akili" ?
Mkuu, pole kwa hilo tukio🙄Swali ulijijisikiaje ulipogunduaa mume wako anakusaliti kwa mara ya kwanza??
Je ulifanyaje ukasahau na mkaendelea na maisha na upendo ukabaki pale pale?
Ilikuchukua muda gani kuizoea hiyo hali na kurudi kawaida?
Naomben kuwasilisha mada mezan
Wala hutokufa...Sijawahi kuhisi anasaliti nashukuru kwa kunificha maana siku nikijua nitafariki kwa mawazo![]()
Stress zinaniuwa mkuuWala hutokufa...