Wanawake Mlio Olewa Acheni Udokozi

Ukizungusha round bar sawa ila zikichukuliwa na mkeo inauma!!!
Binafsi, ninapozungusha raundi baa ninakuwa na makusudi, lengo langu baada ya hapo, ni kuvuna nyingi zaidi ya zile za raundi moja niliyoizungusha, hivyo mie huzungusha kwa malengo, wanasema ukitaka kula lazima uliwe!
 

Una point...hizo hela hata kama ni zenu wote, anapaswa kuomba na si kudokoa...ama kuchukua afu eti anajisahaulisha.
 
Wahudumu wa bar mbona hamuwasemi?? Wenyewe wana haki ya kuwadokolea eti?

Sometimes ukiwa na mke mdokozi ujue wewe ni mbahili sana kwake!
 
ukiona mkeo anavizia suruali yako apige fingers ujue hauhudumii

punguza kuweka heshima bar na small hausi
 
Thread imewakuta wenyewe leo, jamani udokozi kwa mwanamke unasababishiwa na vitu vingi. km mume mlevi, mume bahili namna namna hii huwezi kutunza familia. Solution ni kuchukua mfukoni mwako bila ruhusa ila sio tunadokoa.
 
Labda utujuze ulipojiunga na JF ulitarajia uje kufanya nini?

Nilitarajia kukutana na watu wenye mitazamo kama yako.

BTW, mimi nimeeleza kile ninachoamini kuwa ni sahihi kwa uono wangu.
Unaposhindwa kunielewa unanifanya nishindwe kuelewa kwa nini umeshindwa kunielewa wakati umesema forums zimeanzishwa kwa minajili ya kusocialize na watu kueleza hisia na mitazamo yao bila kuhitaji kueleweka na kila mtu.

Think Bro, Think.....!

Mapendo. TANMO
 
Last edited by a moderator:
Kwani wizi maana yake ni nini?

Hivi na yeyee angekuwa anadokoa papuchi ungejisikiaje?

mimi nikichukua hela mfukoni
kwa mme wangu sijaiba,nimechukua coz
sie ni mwili mmoja,ningekua hawara tu hapo sawa
mke haibi bana,na papuchi haiibiwi!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…