Wanawake mkipendwa pendekeni

Umeshindwa kuwa mwanaume.. Mwanamke haongozwi na mwanamke mwenzie..
Go back to square one and be a man
 
Ni vyema ukawa na sidechick ama sideguy ukishamuona mwenzio akili zake za kushikiwa,vinginevyo utakufa n presha siku si zako
 
usije ukarudia tena kumsomesha mwanamke eti kwa lengo la kuja msaidiane katika maisha. nakuambia tena usithubutu, na hasa sisi wa kuleeee.

Sioni kosa la mtoa mada, sisi wanaume tunawasomesha ivo out of love, sasa cjui mnataka wanawake tuwapendeje, though personally kwa nlioyackia siwez somesha mwanamke et aje awe mke wangu yuclighty espy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…