Wanawake michosho kweli jamani

nikuibie siri sasa alipotoka kwako ameenda kupelekewa kuni na jamaa yake....unakuwaje decent kiasi hicho mpaka mwanamke anakufriend zone adi unakuwa kama shoga yake....
Hapana sikumfriend zone kabisa ni demu nilieona anatakaa kuniletea utoto
 
Njoo Mbezi Luis mkuu. Kuna totoz zinashuka kwenye mabasi kila uchao. Ungekua unasalimia watu ningekuelekeza gesti ya buku tano.
Shikamoo mkuu, haya nipe location 😂
 
Achana naye hakufai.
Msichana akianza kukutukana ni kuonyesha kuwa dawa inaanza kumuingia amekosa ile attention aliyokuwa anaitaka.
Kata mawasiliano naye.
Kata mirija yote unayotoa kwake.
Akikutumia message ya matusi usijibu, usijibizane na mwanamke we ni Mfalme.
Akikutumia message za kawaida mjibu shortcut, onyesha kuwa huhitaji papuchi.
Mwisho atajileta mwenyewe ila hata asipojileta we Anza chapter mpya, jijenge uwe Bora zaidi.
 
Weka kofi moja la uso tena yuko uchi akijishikA uso mkuyenge tayar uko mwanandani huko maumivu yakipoa anakutana na tamu ya mkuyenge lazima aunge tela omba tu na ww isiwe mzee wa tko 3 chalii
 
Nikitokea buguruni napanda gari za wapi na nishukie wapi mkuu
 
Bro naachana nae kabisaa.... Coz saiv anatuma txt za kawaidaa na whatsap kama vile anajutia ila naona hanifai kabisa huyu demu coz why alitukana matusi maanake sio mtu mwemaa ata Bora nimejua mapema
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…