Wanawake michosho kweli jamani

Ila mtoa mada nawe ni ndezi, yn demu mpaka anavua nguo mwnyw ww unakuwa wapi saa hiyo.?
Mtoa mada bonge moja la zungu Khan, hutakiwi kupaparika na nyau mi mwenyewe ningemsepesha yani
 
Sasa si ndo madrama hayo, wengine utoto utoto hatuwezi yani uje geto alafu tuanze uhindi siwezi

Ahahaahh ila wanawake wana angalia wakumletea izo pigo za kitoto si ajabu jama kajiweka kitoto sana
 
Una bahati Sana,Nenda Katie sadaka kwenye kaburi la Babu yako,Huo ndo muujiza,angekuumiza Sana huyo Pepo,achana na onyo jingine pambana na life,vuta gari,vuta jengo zuri,andika vyote majina ya Mama yako,viva gentleman
 
Hahahahaha hahahah dah kuna watu wana koment nyundo mpaka nacheka mwenyewe et"mtoa mada zungu khan)
 
Hivi hayo yenu yalikuwa mapenzi au utoto?

Jifunze kusoma za nyakati happy huna demu piga chini mazima utafute mwingine
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…