Mvua inayonyesha
JF-Expert Member
- Sep 16, 2022
- 267
- 584
Kuna mwanamke nimeanza date nae kama mwezi mmoja, sasa first time niliomba mzigo akazingua na kusema bado tupeane muda. Mie nikachukulia poa tu sio mbaya, ikapita kama mwezi kutoka na ubize wa hapa town tulikuwa tunawasiliana vizuri ila kuonana ilikuwa changamoto lakini Jumapili jana kanipigia simu ooh nimekumiss sana naomba nije kwako, nikasema poa leo nipo njoo.
Anakuja geto tumekaa yeye mwenyewe kaanza uchokozi, mie nikasema mambo si ndio haya. Sasa cha ajabu amevua nguo kila kitu hataki nimkaze, sababu eti nitamchezea na kunipa masharti eti kama nataka kufanya nae mapenzi lazima niende kwao tuwe wachumba rasmi, dah nilichoka.
Nilikomaa sana na kumuahidi ili wapi akawa anakimbia tu ndani, mara seating room, nikimfuata hataki kabisa tena anakuwa mkali. Nikamuuliza wewe ni bikra, akajibu hapana, so why unakuwa hivyo kama saa nzima hivi na nikamuuliza why uliacha kufika mpaka kuvua nguo na wewe ndio umeanza kunichokoza?
Akaanza kunitolea masharti, eti lazima niende kwao ili anipe mbususu, so mie nikamaindi nikamwambia aondoke kwangu. After that kweli akasepa, usiku alipiga simu mie nilimchana live kuwa simtaki, kuanzia jana sababu nilijua anatakaa kutumia mbususu yake kunikomoa.
Ila yeye akapaniki, jana amelalamika sana ila leo baada ya kuona simjibu ameanza anatukana tu kwenye kwa sms.
Nimfanyeje huyu wadau?