Wanawake mabonge kwa taarabu ucpime!

mmh! Celine Dion na taarabu? wapi na wap? wimbo upi? Alafu celine dion hana wowowo!
 
Taarabu ni mziki wa wajinga, ulitoka kwa washamba wa Misri na kutua Unguja, huko Misri sasa hauko, huku kwa sababu aliuleta mwarabu basi taarab inaendelea.
Mziki wa wanene hasa waliovimbiwa na wenye makalio ya mchina, kuna siku Magomeni nimepatwa na kichefuchefu.
Pia Mziki wa *******.
 
taarab ikichanganya utacheza upende usipende.mimi hunikosha hasa,ila ukienda jahazi,ni kama kuna fujo.wanaume kibao kuliko wanawake.ukianza kucheza kwa kujitikisa{unajipa raha mwenyewe}huwa naudhika utakuta mwanamme anakaa nyuma yako kama anakukobelea.
 
Mi nazani kwa sababu stail ya kucheza taarabu kwa sasa imekuwa ikitumia mtindo wa kutingisha makalio kwa sana(mtindo kama wa kupinda mgongo) na wanawake wanene wanayo hayo makalio ya mtindo huo-kwa hio kwenye taarabu imekuwa ndio uwanja wao wa nyumbani
 
Mi napenda kucheki wanawake vibonge, wenye makalio wakimwaga radhi (wakitingisha na kuchezesha makalio yao)realy nainjoy sana!
 
Taarab mwisho bwana!!
download
 
Mie ni mwembamba na naipenda taarab mbaya, hapa ofisini nimenunua kiredio kwa ajili ya taarab.ikifika saa tatu clouds, ikifika saa saba times mpaka kumi. hapo narudi jahazi nalimalizia njiani to home. umeona wewe, rudia research yako upya
 
Napenda taarab mwimbo mama nipe radhi kaimba sijui nani mashauzi, na mwingine una kinanda kizuri mwishoni tililili tililili tililili tililili hahahahahaha hapo chacha kinandaaaaaaaaaa. tarab nzuri sana kwa mazoezi ya nyonga
 
Mc Babu Ayubu anakwambia Kiingereza kingi bila pesa ni makelele.....teh teh teh. Aaah mirindimo ya Pwani raha sana aisee.
 
taarab ikichanganya utacheza upende usipende.mimi hunikosha hasa,ila ukienda jahazi,ni kama kuna fujo.wanaume kibao kuliko wanawake.ukianza kucheza kwa kujitikisa{unajipa raha mwenyewe}huwa naudhika utakuta mwanamme anakaa nyuma yako kama anakukobelea.

kisukari inaonyesha una makalio fulani ya kiuchokozi hivi....lol..........
 
Back
Top Bottom