Wanawake mabikra tukutane hapa


it is a virtue being a virtuous lady....keep it up.
 
Hayo sasa mashauzi, umepewa tunda unalibania litachacha ! Nakuhurumia maana huyo mume unayemtunzia huko alipo ameshaonja mpaka tigo
Nenda nyuma shetani uyawezi ya Mungu ila ya wanadamu
 
Nina 29 sasa
Nakutakia maisha mema galatia, mwenyezi mungu akujaalie kila la kheri upate mume mwema na mwenye maadili mema, lakini hata baada ya kuolewa na kuonja usije kuwa na tabia kuchepuka.
 
Vyovyote vile bado nia yangu haiwezi badirika kwakuwa kila mtu atabeba furushi lake mwenyewe
Wasikukatishe tamaa dada Mutumainie Mungu utashinda uwezi kupata furaha ya kweli kupitia uzinzi Bali furaha ya kweli yapatikana kwa kuliishi neno la Mungu.

Huyo Dada sie Mungu hata akaupangia yupi atakae kuwa mumewako .

Ni dharau tu na kiburi cha uzima kimemjaa lakini when it comes to God hana lolote
 
hahahahahahaha lol! Nilishasikia hiyo kwamba Baiskeli zinahusika sana katika kutafuna Bikra za mabinti 🙂🙂 Pole sana.
Ni kweli hata kazi ngumu zinatoa
 
Reactions: BAK
Kama utafanya na mengine yampendezayo Mu Umba una kwenda peponi.

Sio utunze bikra hafu uwe huwezi kutunza siri ni wa potoni mana utakua na lako
Haya asante mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…