🙂🙂🙂🙂🙂Ukiwa na hofu na Mungu na kama ulipata malezi mema utajitunza tu kwa ajili ya kupata radhi za Mungu.
Usijitunze kwa ajili ya mume..wanaume hawana maana..ukiwa bikra atakuita gogo hujui kitu ukiwa mtundu atakuita malaya.
Yeah nimekusomakuna wanaume wanajitunza kama hao wanawake sio kila mwanaume anafanya hivo vitu...so wakikutana inakuwa ni perfect combo..
I BLNG 2 JESUS CHRST
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza
Nawaalika mabikra wote tuliopo MMU tukutane hapa tupeane uzoefu, lengo kubadirishana mbinu zilizotusaidia kuutunza usichana wetu mpaka leo hii.
Binafsi nilifanikiwa kuutunza usichana wangu kwa kuzingatia maagizo ya wazazi wangu, pamoja na hilo pia niliweka nia kutokumkubalia mwanaume yoyote atakaye nitaka kimapenzi.
Changamoto nilizokutana nazo kwa uamuzi huo ni nyingi sana, wasichana wenzangu walinicheka na kuniambia nakosa raha duniani.
Wavulana walifika mahali wakawa wananiogopa sana kutokana na majibu yangu.
Nilitengwa ktk mambo kadhaa na waliyokuwa rafiki zangu. Nilionekana kama mwanamke asiye na hisia na mengine mengi tu lakini hayakuniyumbisha.
Nafurahia maamuzi yangu sijawahi kuyajutia kamwe. Na nitaendelea na msimamo wangu mpaka nitakapofunga ndoa.
Karibuni.

Bikira ya wapi??Tupo za leo
Post sent using JamiiForums mobile app
Umejitahidi kaza dada kaza ila usije pata mme akasema una bikra ya kichina.Nina 29 sasa
Kwnz bikra hajijui.... We ushamegwaga mkuu, uczugeeeKama kichwa cha habari kinavyojieleza
Nawaalika mabikra wote tuliopo MMU tukutane hapa tupeane uzoefu, lengo kubadirishana mbinu zilizotusaidia kuutunza usichana wetu mpaka leo hii.
Binafsi nilifanikiwa kuutunza usichana wangu kwa kuzingatia maagizo ya wazazi wangu, pamoja na hilo pia niliweka nia kutokumkubalia mwanaume yoyote atakaye nitaka kimapenzi.
Changamoto nilizokutana nazo kwa uamuzi huo ni nyingi sana, wasichana wenzangu walinicheka na kuniambia nakosa raha duniani.
Wavulana walifika mahali wakawa wananiogopa sana kutokana na majibu yangu.
Nilitengwa ktk mambo kadhaa na waliyokuwa rafiki zangu. Nilionekana kama mwanamke asiye na hisia na mengine mengi tu lakini hayakuniyumbisha.
Nafurahia maamuzi yangu sijawahi kuyajutia kamwe. Na nitaendelea na msimamo wangu mpaka nitakapofunga ndoa.
Karibuni.
Tehetehetehe noma noma, mla tigo akipata bikra anatulia maana shida yake yeye ni ule utight..Kama ulijitunza kwa faida yako hongera kama kwa faida ya mwanaume pole sana.ni kama vile kujitunza afu kuolewa na mwanaume mla tigo so sad
Na mimi nataka!![]()
karibu pia