Wanawake mabikra tukutane hapa

Anawadanganya watoto wa primary...Halafu jiulize kwa nini ana hasira hivyo..Mana Naona anagombana Na kila anayemchallenge.Sasa nimeamini kweli Ana Bikira mana nasikia Ni wakali Na hawashauriki
Kosa lake ni kijitangaza kuwa nayo si jambo la ajabu maana ushamba nao unachangia kumfanya mtu aogope wanaume
 
Wanaume onja onja plus wanawake wasio na bikra ni shiiiidaaaaa
 
Mkuu umenena tena kwa busara na hekima,mi nawaona watoao matus hil group haliwafai kwa ushaur bora wangehamia FB,huko ndiko mahal pawafaapo,Mtu mwenye hekima hawez kutoa matus mbele ya hadhira,ilhal kuna rika tofaut hapa tena wengine tuna heshima zetu hapa,inanikera sana hii kama baadhi ya Watu wanavyokereka ila hawasem ila ni wachache wasemao kama sie,kwa hiyo ni muhim ukimya kuliko kushuka pumba
 
Bidada, yule jamaa alotaka kuuza nyumba yako hakufanikiwa kabisa?? Hongera, linda sana tunda lako lijeliwa na mume wako tu. Lakini, mwomde Mungu sana, huyo mume asije kuwa kiwembe aliyesha chezea yale mapapa ya mujini. Siku ya kukubanua unaweza chukia tendo la ndoa kabisa. Usikubali kujifunza kwa mapicha, ukimpata mwenye heshima utafurahi sana
 
Hivi mkuu mitusi ya mleta uzi nayo umeiona?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…