Upo kidunia zaidiKisaikolojia huyu hayuko sawa hebu wanaume wa jamii forum mshughulikieni hadi mumtatue marinda ajue hapa sio facebook pa kuleta ujinga na vi threads vya ajabu watu tupo kutoa ushauri sio kufanya michezo ya kitoto wapeleke insta au fb.
Mmmmh Galatia how old are u?Kama kichwa cha habari kinavyojieleza
Nawaalika mabikra wote tuliopo MMU tukutane hapa tupeane uzoefu, lengo kubadirishana mbinu zilizotusaidia kuutunza usichana wetu mpaka Leo hii.
Binafsi nilifanikiwa kuutunza usichana wangu kwa kuzingatia maagizo ya wazazi wangu, pamoja na hilo pia nili nia kuto kumkubalia mwanaume yoyote atakaye nitaka kimapenzi.
Changamoto nilizokutana nazo kwa uamuzi huo ni nyingi sana , wasichana wenzangu walinicheka na kuniambia nakosa raha duniani.
wavulana walifka mahali wakawa wana niogopa sana kutokana na majibu yangu.
Nilitengwa ktk mambo kadhaa na walio kuwa rafiki zangu.
Nilionekana kama mwanamke asiye na hisia ...na mengine mengi tu lkn hayakuni yumbisha.
Nafurahia maamuzi yangu sijawahi kuyajutia kamwe.
Na nitaendelea na msimamo wangu mpaka nitakapo funga ndoa...
Karibuni
Tanuru la moto linakuhusu kwa kauli zako kuiona mbingu ni ndoto !bwawa unalo we na ukoo wako bombadia mkubwa wewe..bikra tupo kimya we kutwa kujitangaza.si useme tu unatafuta mume umeachika..unaaibisha
wanawake wenye stara zao.
umri wenyewe ushaenda vijana hawataki zenye makunyanzi utaolewa na mjane wa miaka hamsini labda mxiuuu.
tumia lugha ya stara nkujibu kwa stara...kenge wa bluu wewe.
Hebu twende chumbani kwanza mpenzi.unataka kumuibia nani ili tum "blackmail"
maana nisipokusapoti wakati unadanganya hakutakua na sababu ya ndoa hii
Mpaka nimesikia kusisimkaHebu twende chumbani kwanza mpenzi.
Kama hataki kwenda chumbani nichukue mimi , yaani hizo lips zako ntazitendea hakiHebu twende chumbani kwanza mpenzi.
Amelogwa na wanaume wenye tezi dumeEwe Galatia ni nani? Aliye kuloga?
Kwa umri huu kuzaa kwenyewe tayari kutakuwa issue, maana umri kwa wanawake ni hatari zaidiNina 29 sasa
Pole.Mpaka nimesikia kusisimka
Haita nisaidia chchte..niite chumbani namimiPole.
Aisee! Umejitahidi sana. HongeraKama kichwa cha habari kinavyojieleza
Binafsi nilifanikiwa kuutunza usichana wangu kwa kuzingatia maagizo ya wazazi wangu, pamoja na hilo pia nili nia kuto kumkubalia mwanaume yoyote atakaye nitaka kimapenzi.
Karibuni
Subiri utaitwa.Haita nisaidia chchte..niite chumbani namimi
Duuh! Kusubirishwa ndo siwezi mwenzioSubiri utaitwa.
[emoji23] [emoji23] kila mtu ana staili yake ya kujitangaza kwa mfano hapa mimi naona umejitangazabwawa unalo we na ukoo wako bombadia mkubwa wewe..bikra tupo kimya we kutwa kujitangaza.si useme tu unatafuta mume umeachika..unaaibisha
wanawake wenye stara zao.
umri wenyewe ushaenda vijana hawataki zenye makunyanzi utaolewa na mjane wa miaka hamsini labda mxiuuu.
tumia lugha ya stara nkujibu kwa stara...kenge wa bluu wewe.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] . .Ipige picha iyo bikira tuione.