Wanawake LIVE EATV na DOWANS

Wa Ndima

JF-Expert Member
Aug 13, 2010
1,526
323
Wanawake LIVE leo wanaongelea DOWANS kaazi kwelikweli. Tunahakikisha moto huu hauzimiki....tutaondoka na mtu wallahi!!!
 
Regia anasema iliwezekana sisi kushinda ila kuna uwezekano Majaji walihongwa na hatukuwa na mawakali imara
 
Hongera Regia Mtema tutapigana mpaka kielewe. Vita hii haitatulia mpaka kieleweke.
 
Mkulo amesema hazina wahana pesa ya kulipa Dowans, sasa pesa hii ya kulipa itatoka wapi - Regia Mtema
 
safi sana Regia. .tunahitaji wanawake wa aina hii..anasema mwanamke anafeel madhara ya ufisadi zaidi kuliko yeye...
 
huyu mchukua picha ananikera, kwani kuna ulazima wa yeye kutuonesha magongo ya Mbunge wetu?
 
huyu mchukua picha ananikera, kwani kuna ulazima wa yeye kutuonesha magongo ya Mbunge wetu?

Don't be so negative. Inawezekana anataka kuwatia moyo walemavu wengine kwamba oneni mwenzenu anavyoyajua mambo pamoja na kwamba naye ni mlemavu. You could also think from that angle.
 
Don't be so negative. Inawezekana anataka kuwatia moyo walemavu wengine kwamba oneni mwenzenu anavyoyajua mambo pamoja na kwamba naye ni mlemavu. You could also think from that angle.

kweli ugonjwa haufanani, sikufikilia hivyo
 
Who else is ther beside Ms Mtema ? Wish I was invited

Mhandisi mifumo na njia kuu za umeme.
 
Dowans ni aibu ya kitaifa kwa Tanzania, tuna viongozi ambao hawaoni mbele hata kutuingiza huku. - Regia
 
Mh. Regina Mtema mwanasiasa mzuri kabisa. Alistahili kabisa Ubunge. Nawapongeza Chadema kwa chaguo jema la Mbunge wa Viti Maalum.
 
Joyce Kiria leo umenifurahisha mno, umewapa hamasa wanawake waamke kupigana kuhusu Dowans
 
Chadema haipapasi kuchagua wabunge. Inaangalia kichwa kwanza kabla ya mambo mengine. Kamanda Mbowe alishafafanuo suala hilo wakati fulani manake vigazeti vya mafisadi vilianza kueneza sumu kwamba viongozi wa cdm wanafanya upendeleo kwenye nafasi za ubunge kupitia viti maalum.

Mimi naamini tuki-pick randomly wabunge wa viti maalum wa ccm na cdm na tukawapima uelewa wao katika masuala mbalimbali ya nchi, wabunge wa ccm watatia aibu. Hii ni kwa sababu wengi wao wamepata nafasi hizo kishkaji tu. Wanapeana kama zawadi baada ya kazi fulani.... Naogopa kutaja aina ya kazi kwa sababu kuna watoto huwa wanapitia hizi threads.
 
Back
Top Bottom