Habari wana JF,
Ni hivi wanawake nimewavumilia sana/tumewavumilia sana ila hii tabia yenu yakutaka kukomoana inakera kwakweli
mtu umeitwa pekeyako na mpenzi wako.
Wewe tena unawachukua na best zako alafu hao mabest zako sasa wakifika kazi kuagiza vyakula na vinywaji vya bei ya juu bila hata kuuliza mtu amejipangaje mfukoni mwake, sasahivi mkija wengi mtajilipia wenyewe.
************
Ieleweke kua haijanitokea mimi ila naona jinsi gani vijana wenzangu wanavolalamika kuhusu hilo swala na njia pekee ni kuwakimbia wakati wa bili.
wewe ni me au ke?
hela huna unatongoza ya nini.mie mwanaume hela tuu suruali hata mie navaa.
yape ukweli haya maviumbe.sina hamu nao
Habari wana JF,
Ni hivi wanawake nimewavumilia sana/tumewavumilia sana ila hii tabia yenu yakutaka kukomoana inakera kwakweli
mtu umeitwa pekeyako na mpenzi wako.
Wewe tena unawachukua na best zako alafu hao mabest zako sasa wakifika kazi kuagiza vyakula na vinywaji vya bei ya juu bila hata kuuliza mtu amejipangaje mfukoni mwake, sasahivi mkija wengi mtajilipia wenyewe.
************
Ieleweke kua haijanitokea mimi ila naona jinsi gani vijana wenzangu wanavolalamika kuhusu hilo swala na njia pekee ni kuwakimbia wakati wa bili.
Ungeigawa bill tu kila mtu alipe mwenyewe....
Mimi ndondo ilinitokea siku nzuri mnoo sitasahau.. Kwanza ndondo yenyewe ya wadada wawili wanakunywa redds hahaa.. Ilikuwa 2010 huyu dada nilikuwa nakutana naye kwa mara ya kwanza kabisa, kabla ya hapo tulikuwa tunawasiliana kwa simu tu yeye alikuwa hanifahamu ila mimi nilikuwa namuona kwenye mishe zake.
Alinishtukiza tu kuwa siku hiyo ana nafasi. sasa siku hiyo hiyo ndiyo nilikuwa nimetoka kupata gari yangu ya kwanza na chenji ilikuwa imebaki ya kutosha. Ni moja ya siku bora kabisa maishani mwangu.. lol! Ameolewa kwa mtu mwingine kwa sababu ya tofauti zetu za kiimani ila tunaheshimiana mpaka kesho kutwa