Wanawake leo nawapa ukweli wenu

Wanawake leo nawapa ukweli wenu

Ungeigawa bill tu kila mtu alipe mwenyewe....
 
Ukidate vitoto vya chuo ndio zawadi yako hiyo. Vinabana bajeti!!!
 
Ukitongoza mashangingi ujue hayo ndo madhara yake mtu anayejitambua huwezi kwenda kwa darlng na mabesti aisee
 
Matatizo yakudate na vitoto vya chuo ndo wako hivo. Bora niendelee na majimama yangu tu



kuna wanachuo wanajitambua mkuu huyo anadate na vilaza tu.

mtu alete mashosti zake lazima uwe mwanaume " sweetie naomba tuhamie meza nyingine am not comfortable hapa " uwaache pale wanatoa macho kama wamebanwa na mlango huyo wako ndo umwambie wakiagiza hata bublish ya sh. 50/ utalipa wewe
 
Ww kigwasu shida ya kudate na watu njaa kalI mwenye pesa yake hata mje kijiji ndo kwanza anapenda
 
Halafu wakome kabisa tabia hiyo.Mtu mwingine mke wa mtu na wewe umeoa mnapendana na kufanya yenu.Siku anataka mkutane umtoe out halafu anakuja na mtu mwingine.Ile siri yenu anaanza kivujisha kwa huyo shogaye.Halafu anajisahau ikivuja yeye akijajua mmewe na mimi mke wangu akijua nana atapata hasara kubwa,nani atapata mkongoto?
 
Hadi uone huyo mwenza wako amekuja na 'ndondo' ujue hakuchukulii kuwa ni mpenzi wake mwenye malengo naye, na lazma atakuwa na wapenzi wengine kila mmoja akiwa na jukumu lake ambapo wewe ni wa matumizi. Hivyo kama utakuwa makini hiyo ni ishara nzuri ya kuachana na wa type hizo kama huendani nao na kutafuta aliyekuwa committed.
 
Na ukishaona hali kama hiyo hata kabla hawajakaa vizuri mezani umwa tumbo la kuhara na ondoka hakufai tena,kama unataka tu kujiburudisha jikaze baba
 
Back
Top Bottom