Wanawake leo nawapa ukweli wenu

Wanawake leo nawapa ukweli wenu

Na ukishaona hali kama hiyo hata kabla hawajakaa vizuri mezani umwa tumbo la kuhara na ondoka hakufai tena,kama unataka tu kujiburudisha jikaze baba

Umetisha mkuu
 
Hadi uone huyo mwenza wako amekuja na 'ndondo' ujue hakuchukulii kuwa ni mpenzi wake mwenye malengo naye, na lazma atakuwa na wapenzi wengine kila mmoja akiwa na jukumu lake ambapo wewe ni wa matumizi. Hivyo kama utakuwa makini hiyo ni ishara nzuri ya kuachana na wa type hizo kama huendani nao na kutafuta aliyekuwa committed.

Dawa yao kila mtu akija aagize kwa ela yake
 
Halafu wakome kabisa tabia hiyo.Mtu mwingine mke wa mtu na wewe umeoa mnapendana na kufanya yenu.Siku anataka mkutane umtoe out halafu anakuja na mtu mwingine.Ile siri yenu anaanza kivujisha kwa huyo shogaye.Halafu anajisahau ikivuja yeye akijajua mmewe na mimi mke wangu akijua nana atapata hasara kubwa,nani atapata mkongoto?

Wanawake asilimia kubwa akili zao uwa zinafanana
 
bitebo7

kwa mtindo huu utanipata kweli????
 
Last edited by a moderator:
si wote,harafu acha kumaind vitu vidogo kama ivyo.tell her siku nyingine usiwe unakuja na friends zako.ok

Aijanitokea na ikinitokea kama ela ipo ntatulia ila kama sina timbwili litaanza mda huohuo
 
si wote,harafu acha kumaind vitu vidogo kama ivyo.tell her siku nyingine usiwe unakuja na friends zako.ok

hata kama unaitwa wewe unakuja na kundi sio hivyo sasa
 
Wanawake wapigaji ndiyo wanastaili juzi,walio considerate kwanza wanaona aibu na hufikiria madhara mapema kwa kuogopa kujiaibisha.
Hajui unatoa si gani Kwa ajili ya matumizi,hawezi kuja na mtu,lakini hata muonekano tut munapokutana unaweza kukupa picha.

Habiba ya mwanamke wa ovyo Utaijua ndani ya dakika chache tu.
Alina Anatolia kutoka na wenzie ataanza kukujuza mapema
 
kwani lazma ulipe.... kama hautaki si uache au uwambie kabisa haulipi wajue wanakunywa kwa bili yao...niiiiniii mtu kulalama mabo ya kitoto kama umelazimishwa
 
Ndio maana mimi napenda kwenda zenji! ukimuita mtoto anakuja mwenyewe alafu ni masaa ya jioni jioooni mnajificha kona mnakula mbuzi!

Hiyo labda Arusha au Dodoma, Zanzibar na mbuzi wapi na wapi? Utachekwa.
 
Khaaaaaaaaa! Pilipili usoila yakuwashaje yakheeeeeee?!!!!!!!
 
Back
Top Bottom