FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,820
Ngoja nitakualika mahali
Ntangoja sana.
Ngoja nitakualika mahali
yape ukweli haya maviumbe.sina hamu nao
Wape vidonge zao, sina hamu nao
na wanakuja wakiwa tayari washameza vidonge vya njaa
Starehe gharama huwezi kaa pembeni upishe wenye pesa zao
na wanakuja wakiwa tayari washameza vidonge vya njaa
Mmmmmh!
Sasa kama ela hakuna utawalishaje?
Wewe nshakujulia sikuiti mpaka mwisho wa mwezi
yape ukweli haya maviumbe.sina hamu nao