Wanawake Kwenye mapenzi msiwe nyuki Muwe asali

Wanawake Kwenye mapenzi msiwe nyuki Muwe asali

hahahahahahah unalo hilo...ndomana leo hujatoka hata breki...full kucopy nots za ticha nata....mwombe ukamwoshee vogue lake hapo nje zen atakugea matirio tu usimwogope......
nisomee basi wewe mamduchu!
 
dah we utasapu...bora uhairishe mwaka kwani goti ni kozi muhimu sana, bila kufaulu hiyo huendi kokote...nenda kaongee na mudhungu aka rutherfodi akupe praktiko asee...
t.....o umemaliza!mi limenishinda!manake ah kozi zingine bora zisionekana kwenye transcript kuwa ulisoma bana!hapa sijamaliza assignment ya The Boss kuhusiana na utafiti wake huku kwa mwalimu nata nae ndo mambo ya makozi magumu hivi,sijui nifanyaje!
 
hawa wenzetu ndo walivyo mnatakiwa kuishi nao kwa uvumilivu na ujanja
 
...kicheko kitaaam kama asali .... wewe una ukombozi ... somo hili huhitaji hata daftari ...

Naweza kuwa nimekombolewa kwenye hilo tatizo la kununa, shida iko kwenye umbea! Hapo naona ntakuwa nyuki wakati mume yeye ni asali! atalambwa na kina Ciello na snowhite wakati mie nyuki sionji kitu! Lol!
 
Last edited by a moderator:
hahahahahah ngoja ntarudi asubuhi nimlambe vizuri mumeo....

sasa ticha nata mbona unakandamiza matirio??? mie nipeleke taratibu bana....ngoja nikamilishe topiki ya goti zen tutaingia kuvurugavuruga...au wasemaje???

Jamani mwenzenu nikiona hayo manrno sina mbavu hata kama niwe nimenuna! Yaani huwa najaribu kupata picha lakini haiji! Nadhani hiyo ndio ilikuwa the best topic kwako na snowhite.
 
Last edited by a moderator:
hahahahahah ngoja ntarudi asubuhi nimlambe vizuri mumeo....

Mamaaaaaaa! Kweli nyuki ana hasara! Asali atengeneze mwenyewe, kulamba walambe wengine!
 
Hahah! Go ahead, mradi nikikuomba nijiite Thelujinyeupe in the future unikubalie tu.

HoneyBee naomba kwa idhini yako uniruhusu niitwe nyuki!manake wenzio somo limekolea huku!ndo mana we unajiita honeybee au ulishawahi kuwa mwanafunzi wa natalia!
manake mi na Ciello tulikuwa tunajiuliza asubuhi!
 
Naongelea Kwenye mzinga wa mapenzi .wanawake wengi mnakuwa Kama nyuki hasira kununa umbea na kijichubua hivi ni bonge la turn off .wanaume wenu wataishia kuwa Kama asali.kila mtu atakula Kasoro nyuki mwenyewe.

Asante dada natalia..huu uzi kwangu ni wa kufungia mwaka..

watu wanafanyia mzaha vitu vya maana, wanakomalia vitu visivyo na maana..kwa kweli hii thread ina mafunzo makubwa sana kwetu akina dada/mama..hebu tuifanyie kazi..
huu ni ukweli usiopingika, sisi akina mama tumegeuka kuwa nyuki katika nyumba zetu, hiyo imepelekea waume zetu kuwa asali wanaliwa na wengine kasoro sie tulionao..ni muhimu tubadilike..
 
inakua kama nyuki kwa sababu huwa naitaji mti kwa ajili ya kuwekea mzinga wangu sipati sasa nifanyeje wakati asali inakaribia kudondoka
 
miye sijui, wajua lekcha za nata ngumu sana sa kwa vilaza ka sie inatuchukua muda kumasta somo ka miye bado nahangaika na 0713....sijui ntafuzu lini, nata ka doc wa havadi bana....

achana na 0713 siyo dili tena...... si unajua kila masika na mbu wake
 
Your level of education must be standard 4, unaonekana hata ku smile hujui

nadhani mtu anaye shindwa kukubliana na different schools of thought kama ww ndiye std4 intellectuals always they have different schools of thought na wanakubaliana kuto kubaliana.huo ndio maana ya usomi.
 
this is a place of greater thinker jibu hoja kwa hoja siyo kwa kashfa au matusi

Unavuna ulichopanda ****** wewe, great thinking yako ndo ya kuona wanawake kama bus??!!! kama hukuishia la nne ni nini!, cause hata la sana ni kubwa sana kwako, MXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX!
 
Unavuna ulichopanda ****** wewe, great thinking yako ndo ya kuona wanawake kama bus??!!! kama hukuishia la nne ni nini!, cause hata la sana ni kubwa sana kwako, MXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX!
tatizo la antbook mnashindwa ku digest issues mnakimbilla kashfa nendeni shule zinazoeleweka mkapate tools of analysis ndio maana unashindwa kunielewa shule yako ndogo.
 
Unavuna ulichopanda ****** wewe, great thinking yako ndo ya kuona wanawake kama bus??!!! kama hukuishia la nne ni nini!, cause hata la sana ni kubwa sana kwako, MXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX!

tatizo nyie vilaza hamwezi kutuelewa sisi greater thinkers ,ushauli wa bure nyie vilaza nendeni shule kwanza mkirudi toka shule mtatuelewa sisi greater thinker na mtajibu hoja kwa hoja siyo matusi,
 
tatizo nyie vilaza hamwezi kutuelewa sisi greater thinkers ,ushauli wa bure nyie vilaza nendeni shule kwanza mkirudi toka shule mtatuelewa sisi greater thinker na mtajibu hoja kwa hoja siyo matusi,
Ungekuwa umeenda shule usingekuwa na mawazo hayo let alone write them down, nyamafu weeee!, mxxxxxxxxxx!
 
Ungekuwa umeenda shule usingekuwa na mawazo hayo let alone write them down, nyamafu weeee!, mxxxxxxxxxx!
neenda shule we kilaza tuache greater thinker tu discus issues wewe huwezi kutuelewa sababu shule yako ndogo,wenzako tulipo kuwa tuna enda shule za ukweli ww ulikuwa una uza sula matokeo yake wenzaku tunakata issues wewe unathani tunatukana sababu ya ukilaza wako
 
Back
Top Bottom