Wanawake Kwenye mapenzi msiwe nyuki Muwe asali

Wanawake Kwenye mapenzi msiwe nyuki Muwe asali

miye sijui, wajua lekcha za nata ngumu sana sa kwa vilaza ka sie inatuchukua muda kumasta somo ka miye bado nahangaika na 0713....sijui ntafuzu lini, nata ka doc wa havadi bana....
Ok.Ciello naanza sasa kwa ababu naona saa uko tayari,hebu niambie eti ni kwanini Mnakuwa kama nyuki kwa mujibu wa Natalia??!!
 
Iko wapi mutoto Ciello,hapa kuna mutu inaitwa lara 1 where are you mutu yangu?Bujibuji tokea hapa nasubiri weye darasa nakwishaanza humu ndani ya munyumba.

Hahaaaaaa! Mi Leo niko KIUPAKO zaidiii! natizama tu picha kwa nje! "JIWE LIMETUPWA GIZANI JAMANI!!!!!!!!"
 
Nata bwana tatizo lako, kutushushua, kutusimanga, kutulaumu mwanzo mwisho, WE TOA SOLUTION TUFANYAJE TUWE TURN ON manake tushageuka switch atiii!!!!
 
Naongelea Kwenye mzinga wa mapenzi .wanawake wengi mnakuwa Kama nyuki hasira kununa umbea na kijichubua hivi ni bonge la turn off .wanaume wenu wataishia kuwa Kama asali.kila mtu atakula Kasoro nyuki mwenyewe.
NDIO MWAAAAAAALIM!
kuonyesha msisitizo mi nimeshabadilissha jina mwalimu!
naitwa nyuki!
 
HoneyBee naomba kwa idhini yako uniruhusu niitwe nyuki!manake wenzio somo limekolea huku!ndo mana we unajiita honeybee au ulishawahi kuwa mwanafunzi wa natalia!
manake mi na Ciello tulikuwa tunajiuliza asubuhi!
 
Last edited by a moderator:
hahahahahahahh unaanza kuiba jina la watu eeeh!!! watakusuu...shaurilo...
HoneyBee naomba kwa idhini yako uniruhusu niitwe nyuki!manake wenzio somo limekolea huku!ndo mana we unajiita honeybee au ulishawahi kuwa mwanafunzi wa natalia!
manake mi na Ciello tulikuwa tunajiuliza asubuhi!
 
Nata bwana tatizo lako, kutushushua, kutusimanga, kutulaumu mwanzo mwisho, WE TOA SOLUTION TUFANYAJE TUWE TURN ON manake tushageuka switch atiii!!!!
Soln ni mdogo kuwa Kama mpenzi wa kind David mwanamke Tea tree olive oil
 
miye sijui, wajua lekcha za nata ngumu sana sa kwa vilaza ka sie inatuchukua muda kumasta somo ka miye bado nahangaika na 0713....sijui ntafuzu lini, nata ka doc wa havadi bana....

Tantric love .
 
Soln ni mdogo kuwa Kama mpenzi wa kind David mwanamke Tea tree olive oil
bana mwalimu mbona hapa mi sioni hizi notes hapa umeandika nini?samahani lakini mwalimu nimeshindwa kukopi kwenye dafatri gani!
we mwaJ hebu nisomee huko!
 
Last edited by a moderator:
mwaJ kenda kula mihogo kantini kaona somo halipandi, labda umwite BADILI TABIA anazo notsi za kozi nzima....
bana mwalimu mbona hapa mi sioni hizi notes hapa umeandika nini?samahani lakini mwalimu nimeshindwa kukopi kwenye dafatri gani!
we mwaJ hebu nisomee huko!
 
Last edited by a moderator:
sasa ticha nata mbona unakandamiza matirio??? mie nipeleke taratibu bana....ngoja nikamilishe topiki ya goti zen tutaingia kuvurugavuruga...au wasemaje???
Tantric love
 
sasa ticha nata mbona unakandamiza matirio??? mie nipeleke taratibu bana....ngoja nikamilishe topiki ya goti zen tutaingia kuvurugavuruga...au wasemaje???

t.....o umemaliza!mi limenishinda!manake ah kozi zingine bora zisionekana kwenye transcript kuwa ulisoma bana!hapa sijamaliza assignment ya The Boss kuhusiana na utafiti wake kuhusu sriisam sijui insect nini ah havard nao wana vingereza vigumu kweli!huku kwa mwalimu nata nae ndo mambo ya makozi magumu hivi,sijui nifanyaje!
 
Back
Top Bottom