kisungu
JF-Expert Member
- Feb 20, 2013
- 788
- 264
Kuna tabia imezuka hivi karibuni ya wanawake kwa kutaka kile wanachokiita usawa wa kijinsia eti nao siku hizi wanajisaidia kichakani kama wanavyofanya kaka zao (wanaume). maswali ni mengi ila kubwa zaidi ni je hamuogopi nyoka, vipi kuhusu kubakwa? aibu? mwanamke unakubali vipi pichu yako ionekane na mtu ambaye sio mume wako? huko kichakani maji mnatoa wapi?
wakati mwingine unakuta mko safarini, wanawake mnachimba dawa hapo karibu kabisa na wanaume, acheni hizo kwani hata kama ni haki sawa sio kiivyo mwanamke unatakiwa ujisitiri kujiachia achia sio vizuri.
Nawasilisha.