Wanawake kwanini mnasahau kupaka makalio mafuta?

Wanawake kwanini mnasahau kupaka makalio mafuta?

Kama ulimkuta mpnz wako ana hali hyo ulipaswa kumsaidia na cyo kuja kumtangaza huku JF cuz kama hyo ndyo tabia yako hautaweza kudumu na mwanamke ktk uhai wako wote kwa sabab next tym utapata mpnz anayenuka kinywa na ukimuacha utampata mwingine asiyejitawadha baada ya kukata kubwa,hata wazaz we2 waliozeesha pamoja kwenye ndoa walivumiliana sana kwa mengi.Jifunze kuwavumilia wanadam wenzio
 
Mkuu hilo ni tangazo la tbs na vitu vilivyoexpire kwamba ukimchunguza bata huwezi kumla ila usafi ni muhimu na mipauko sio ishara njema na inaondoa hamu kwa mwenzi
 
Post Kama hii ikikosa picha inapoteza utamu
 
mkuu acha kulazimisha mawazo yako.. wengine wanapaka poda kule ili kuwe soft.. si unajua baby care ina balaa lake pia..!!!
usikute ulikuta weupe wa poda mkuu..!!!!
Poda ndo mpaka ngozi ichubuke! hiyo poda nmeikubali.
 
Shida yako nikufanya starehe au kukagua matako ya wanawake
 
Japokuwa mtoa mada ni KE nadhani ujumbe umewafikia KE wenzake... mimi nilidhani mtoa mada ni ME...aisee
 
Japokuwa mtoa mada ni KE nadhani ujumbe umewafikia KE wenzake... mimi nilidhani mtoa mada ni ME...aisee
Kwaiyo mkuu ukiona post unakimbilia kuangalia kama ni KE au ME aya bwana ila imepenyaaaaa iyooo
 
Nipo sema baby

Mimi baby ake na Smart911 a.k.a Julian the king
Umenielewa vibaya mkuu
According to your profile wewe ni female sasa kwenye uzi wako tena ulisasambua tupu za female mwenzio mkuu it doesn't come come unasemaje kuhusu hilo???

Iko utata katika jinsia yako

Cc Smart911
 
Mtoa mada inaonyesha ile post ya utafiti ya wanaume kutokujipaka mafuta makalioni imekugusa ukaona uje ufurukute huku kupunguza maumivu ya lile jiwe, inaonekana limekupata kisawasawa
 
Mimi baby ake na Smart911 a.k.a Julian the king
Umenielewa vibaya mkuu
According to your profile wewe ni female sasa kwenye uzi wako tena ulisasambua tupu za female mwenzio mkuu it doesn't come come unasemaje kuhusu hilo???

Iko utata katika jinsia yako

Cc Smart911
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
mbona nyie hampakagi kabisa mafuta lakini tunavumilia
 
Samahani mkuu,huwa unatoa fedha za matumizi lkn?huwa unampa hata hela ya sabuni au hyo losheni?unapodai haki yako na ukawa umetimiza wajibu wako upo sahihi lkn kama sivyo bas timiza wajibu wako mkuu...ni mtazamo huru tu
Mkuu mimi mwepesi sana wa kutoa. Anajali sana usoni na kichwani yaani kila aina ya wigi analo, some times ananitumia picha whatsap aina ya wingi na bei namcash.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom