Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,495
- 167,099
Nina mafuta ya mkia wa kondoo, ni mazuri sana kwa kulainisha na kushepu zegembe lako. Njoo PM nikuhudumie kikamilifuKhaaaa!!!!
Nina mafuta ya mkia wa kondoo, ni mazuri sana kwa kulainisha na kushepu zegembe lako. Njoo PM nikuhudumie kikamilifuKhaaaa!!!!
Mi natamani sana ni mle kungwi Kama huyu nione mapenzi mubhasharaaa
hajielewi anipe hela asipoonaa kalio linawaka mafutaWatu hawachangii hela ya mafuta hlf wanaleta malalamiko humu[emoji23] [emoji23]
ni sawa tuwe wasafi ila najiuliza jamaa anamsagura mwanamke nyuma mbele .. halafu yeye hajavua nguo simu ikaita akaenda kupokelea nje duh
The most beautiful cocochanel umenifanya nicheke kwa sauti ya kwanza kama soloist wa kwaya ya SabatoSijui nini kimenileta kusoma uzi huu, nasikia kichefuchefu
Kwa wewe kuendelea basi nawe ni unavyomuita yeye juu ya usafi...khaaaaa
Huoni hara aibu kisa papu ndio ukaendelea....
Kinyaaaa
Ngoja nisome username yako tena nisepe...khaaa na chafya nimepiga
Wamekosa vya kuandika hao.leo imegeuka kuhusu kupaka makalio mafuta imekua kwetu wanawake hahhahah
The most beautiful cocochanel umenifanya nicheke kwa sauti ya kwanza kama soloist wa kwaya ya Sabato
nimeshapata jibuHahahaahhahahaahahahahaha connect the dots.........
Utawaweza hao na sio kumwambia aje asome kimemshinda nini kumwambia huko.Kama hayupo humu basi umejisumbua, mlete aja ajisome
Shauri yako na maneno haya.....Hahahaahhahahaahahahahaha mi comments zako tu zinaifanyaga siku yangu.
Nisipochekaga kabisa basi nitatabasamu
Thanks kwakweli
Cc Smart911