Wanawake, kwanini mnafunga khanga?

LA7

JF-Expert Member
Aug 26, 2019
457
1,746
kwanini wanawake mnapodeki huwa mnafunga khanga, hata kwa wale ambao hamna mazoea kabisa ya kujifunga khanga?

Nahitaji majibu sio maelezo.
 
Na huyu naye ni baba wa familia. Anamiliki mke na watoto. Kazi kupiga chabo wake za watu wakiwa ndani ya khanga moko. We ulitaka wajifunge kaniki?

Nchi ngumu sana hii! Watu wanapiga hela za walipa kodi, walipa kodi wenyewe wanataka majibu ya kwa nini wanawake huvaa kanga wakati wa kupiga deki.

Tena kwa msisitizo, mlipa kodi anataka majibu! Na siyo maelezo!!
 
kwa sisi watu wa asili yapwani kanga ni vazi tunajitanda muda wowote, kama mwanamke lazima uwe na kanga ya jikoni ukikosa tenge au apron, ya kwendea dukani, sokoni, zipo kanga kubwa tunajitanda vizur kama mtandio na kijora chini mpaka mjini, kuna kanga maalum za kulalia

anapoolewa msichana hutakiwa kanga, ndio maana kuna makabila hupeleka sanduku ndani zikiwemo kanga zakuvaa bibi harusi na nyingine avae na mumewe wakat wa kulala
 
Nchi ngumu sana hii! Watu wanapiga hela za walipa kodi, walipa kodi wenyewe wanataka majibu ya kwa nini wanawake huvaa kanga wakati wa kupiga deki.

Tena kwa msisitizo, mlipa kodi anataka majibu! Na siyo maelezo!!
Mabuti ya kijeshi uyaone mafupi mepesi/
Yani kama vile simple toka nduki toka lesi/
Ka risasi ya bunduki au jeti/
No kunyuti no kuketi, wape nafasi wakushoot/
Kama Malcolm X usikubali kubaki/
Uwe pimbi upewe kesi/
Ikibidi jitose ndani ya dimbwi la kinyesi/
Sio suala la uoga,kuogopa ukunguru/
Ila Bora kurogwa kuliko kukosa uhuru/
Wapi Shemponda wapi Jenerali Komba/
Siri Kali Sera Kali cheza mbali na wajomba/
Kimbiaa, mitihani imevuja nyie hamjasikia!?/
Yanini kusoma huku elimu inanunuliwa/
Kimbiaa, Nchi imeshauzwa hii hamna kusikilizia/
TANESCO, Madini Hadi Air Tanzania/
Watoto wa uswazi hawana matumaini/
Ndoto zao ujambazi sababu ya umaskini/
Matapeli wenye shahada kila hatua tatu/
Makahaba wa miaka kumi na tatu/
Maskani kamsitu, vicheche na machatu/
Usipite pekupeku bila kuvaa viatu/
Aaaah Kimbiaaaaaaaa

Rest Easy LANGA (RIP)
 
Back
Top Bottom