mkabasia
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 3,038
- 2,740
Kwa kweli kila mtu ana sifa anazotaka kwa mkewe.Mfano mimi alinikuta surual na vimini navaa hakuwai nkataza mpaka leo.Kutoka out tunatoka kawaida mara moja moja sio mbaya(sio wale wa kila w'end).Nguo nlokatazwa kuvaa ni hizi skintight na top.
Sasa huyo wako kama unahisi unampenda sana na ivo anavotaka uache kuvaa unaweza kuacha just for love do it.Kama huwezi surely naona dalili za kuja kusumbuana baadae.Na kwanini utake vitu flani msitoke kwenda kuvila akuletee jamani?huu nao mtihani ati.