Wanawake kwa wanaume kwa nini iko hivi?

instanbul

JF-Expert Member
Jun 26, 2016
11,381
14,186
Kama picha ilivyo kwa nini uwa inakua hivi
de3d565f83a0c94337e8f4395aee4103.jpg
 
Wanaume siku zote ni mara chache sana kumweka mwanamke moyoni, hata km amefunga nae ndoa itachukua miaka kadhaa kumweka mwanamke moyoni. Ndio maana akiona kasoro tu yuko tayari tayari kumwacha mke hata km ni siku ya harusi mbele ya watu bila kujali katumia gharama gani atamwacha tu.... Lakini kwa wanawake kumweka mwanaume moyoni mwake ni rahisi sana km anakunywa maji vile. Sasa anapoachwa ghafla atalia weee na kulaumu wanaume wote
 
Wanaume siku zote ni mara chache sana kumweka mwanamke moyoni, hata km amefunga nae ndoa itachukua miaka kadhaa kumweka mwanamke moyoni. Ndio maana akiona kasoro tu yuko tayari tayari kumwacha mke hata km ni siku harusi mbele ya watu.... Lakini kwa wanawake kumweka mwanaume moyoni mwake ni rahisi sana km anakunywa maji vile. Sasa anapoachwa ghafla atalia weee na kulaumu wanaume wote
Umeongea point tupu, mim utoa 50% kwa 50%
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom