Wanawake kwa Wanaume inawahusu

Wanawake kwa Wanaume inawahusu

Khaleed Shaban

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Posts
399
Reaction score
58
Habari zenu wana jamii wenzangu,

Ningependa kuwataarifu kuwa kwa kinadada wanaohitaji nguo mbalimbali za kike pamoja na viatu vya kike vinapatikana kwa bei ya rejareja na bei ni nafuu kabisa.

Kina kaka pia mnakaribishwa ili muweze kuwanunulia wapenzi wenu ili kudumisha upendo, pia napokea order kwa anaehitaji simu ya aina yoyote.

*Angalizo simu zote zitakua ni used ila zenye hali nzuri na hautonunua mpaka uiakikishe.
Napatikana Dar es salaam.
Mawasiliano namba 0656899091 unaweza ukanicheki na Whatsapp kwa namba hiyohiyo

Asanteni na karibuni
 
Habari zenu wana jamii wenzangu?
Ningependa kuwataarifu kua kwa kinadada wanaohitaji nguo mbalimbali za kike pamoja na viatu vya kike vinapatikana kwa bei ya rejareja na bei ni nafuu kabisa,kina kaka pia mnakaribishwa ili muweze kuwanunulia wapenzi wenu ili kudumisha upendo
Pia napokea order kwa anaehitaji simu ya aina yoyote
*angalizo simu zote zitakua ni used ila zenye hali nzuri na hautonunua mpaka uiakikishe
Napatikana Dar es salaam
Mawasiliano namba 0656899091 unaweza ukanicheki na Whatsapp kwa namba hiyohiyo
Ahsanteni na karibuni
Kaka mkubwa nilipokoleza ina maana kudumisha upendo ni kutoka kwa mwanaume tu au ni one way traffic?

 
mkuu kama huta mind basi peleka hii post yako jukwaa la biashara na matangazo.
 
Kaka mkubwa nilipokoleza ina maana kudumisha upendo ni kutoka kwa mwanaume tu au ni one way traffic?


Kudumisha upendo ni pande zote mbili ila wakina dada uwa wanapenda sana zawadi ukilinganisha na wanaume hivyo utamfanya ajione wa kipekee na kuongeza malavidav
 
ntakucheki nikirejea Dar mkuu.umefanya vyema maisha ni kuparanganyika
 
Back
Top Bottom