Wanawake Kwa Vituko, mie simo hapoo

Naam... Imekolea ki-sawa sawa... Hapo ni chorus!
 
Hovyooooooo ndo cha maana hicho umekiona?MODS tunaomba jukwaa la small thinkers ambalo hawa akina mbuzi mzee watakuwa wanajifunza
 
aisee iyo ni kwere aifai kila maeneo yani apo ndo kwanza Chalinze ata Segera bado kabisa
 
mimi ninapoiamba sura yangu inakuwa kama huyo aliyealalia pillow la pink
 
Kusikilizia machine kunahitaji ufundi jamani hasa ikiwa manual vinginevyo utapasua engine!!!!!!
 
Hi awp umenifanya niwe na hamu na wewe kama ndio unavyoimba,naomba unipm nikuambie kitu.
 
Wapi hawa wanachukua hayo mazoezi na sisi tukawaone
 
si asavali ya hao wanaonesha hisia kidogo (hata kama ni za uizi)..wanawake wa kibongo wakati mnatiana anakutolea tu mimacho kama kambale..!
 
MBona wachangiaji wote munawaza ngono tu. Hapo ni machungu ya kujifungua!
 
Mmekosa wote nyie (mna corrupted minds nyie wote). Jibu sahihi ni kuwa wote hapo kwenye picha wanajiandaa kupiga chafya!
 
Hovyooooooo ndo cha maana hicho umekiona?MODS tunaomba jukwaa la small thinkers ambalo hawa akina mbuzi mzee watakuwa wanajifunza
Sasa ww great thinker unafuata nini huku.. unekasirika nini sasa? are you gay?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…