Ngoja nije pm, naona ww unajua wajibu wako
Hahaaaaaaaa et kuwabinua binua teh teh teh, jaman c raha kwa wote hapo! White g inaonesha hupendi kabisa kuambiwa geuka hivi!
bila shaka unaiuza kama bidhaa ati,..
Ni kweli kabisa.... ila anayeanza na list ya vitu atakuwa ana duka huyo, hana shida na ndoa! wenye shida na ndoa tunaelewa cha kufanya!
Isitoshe inategemea na mwanaume yupoje! Kama naye ni full mishauzi lazime apigwe tuu! Kama ni mume wa mtu lazima shopping list itamhusu!
mwanaume washoka hujijenga na huwa na malengo kabla hata ya kuwa na mke huyo tunamwita mwanume wa shoka lile jianaume linalosubiria oh tuanze wote from scratch huwa nayaangalia sana ,mtot w3a kiume toka unapotambua kuwa una kitu kinaning'inia na vigololi viwili kwenye mfuko unatakiwa ujue wazi kuwa majukumu yakujenga familia nyumba mzuri ni juu yako sio hiari hiyo ni lazima tena hata bila kuambiwa.sasa nyie mnashindwa kutufikisha katika hatua hizo za kujenga familia kwa mizinga yenu isiyokuwa na maana,..
''Kumbuka siku njema huonekana alfajiri''
Ukiona hivyo ujue wewe ndio kimbilio lake. Kuna mambo ya msingi inabidi umsaidie kama kutengeneza nywele na vitu vidogo vidogo kama hivyo.
Wewe ndo mpenzi wake na yeye hana hela unataka afanyeje?. kama unacho msaidie kama huna mwambie. Mtaani kugumu. Madada wanakosa hata shilling ya kununulia pedi.
Mi ninao waogopa ni wale wa bia chips nyama choma starehe mara bonanza sijui tour party kujichubua nk.
Kama nimempenda hela ya salon, chakula ntampa.
Wajibu wake kwenye kugegedana??/yaani siku zote ulikuwa unasubiria mwanaume mwenye wajibu wake kwako....Ndio maana papuchi zinaliwa na kuachwa ...Miaka 26 unachuna watuhakuna kitu kizuri kama kuwa na mwanume ambaye anajua wajibu wake..........................
Mwanaume unayewazia vijisenti hivyo ni balaa kabisa,kuretac 4000/= ndio ikuwazishe namna hiyo huwezi kuhudumia katumie sabuni baba pia inasaidia kupunguza matumizi maana sabuni utanunua hata za kigoma za mia,ptuuuu unalalama hivi ukioa ukajaliwa watoto utalipa ada wewe!!! chakii
Hivi kuolewa imekuwa ni lazima siku hizi?
Bahati imenidondokea,
Kumbe ubashida na ndoa!!?
Ngoja nikufuate PM
umetisha mkuu,.
Ana vihela vya mawazo huyo msamee watu tunahonga nyumba na magari ya kifahari bila kujiuliza, hata mizigo hatujagonga
Unakuta mwanamke ameingia katika mahusiano na mwanaume lengo likiwa ni kupeana mapenzi,..
Kabla hata kufikia hatua ya kupeana hilo penzi unamkuta mwanamke ameshamtengenezea mwanaume bajeti ya mahitaji yake as if huyo mwanaume ndicho kilichomleta kwa huyo mwanamke,.
Kila siku mwanamke anataka kwenda saloon ku-retach nywele zake hata kama hana tukio maalum linalomlazimu kufanya hivyo,.
Mwanamke yeye kazi yake hawazi jambo lolote bali kila wakati anawaza ni jinsi gani atakavyotumbua hela za mwanaume pasipokuwa na huruma,.
Mwanamke kila siku analia shida as if wewe ndiye uliyemsababishia hizo shida,.
Mwanamke hana mchango wa mawazo ya msingi kwa mwanaume kama kumshauri ni namna mwanaume ataweza kuinua kipato chake bali yeye anawaza matumizi tu pasipokujua hata hizo hela zimepatikana vipi,.
SOMO KWA WANAWAKE
1.Wanawake kumbukeni wanaume wanahitaji kuwa na wake wenye msaada katika familia na asiyekuwa tegemezi,.
2.Katika suala zima la mahusiano ndipo mwanaume anapopata nafasi ya kuzisoma tabia za mwanamke na kujua yupi anayefaa
3.Mwanamke usiingie katika mahusiano kwa lengo la kupata hela mwishowe kuishiwa kutumiwa tu
4.Mwanaume atakuheshimu tu pale atakapoona msaada wako katika maisha yake mbali na kumfaidi tu
Tofauti na haya wanawake mtazidi kusota mtaani kutokana na tabia zenu zinazowaondolea sifa ya kuolewa!!
Ana vihela vya mawazo huyo msamee watu tunahonga nyumba na magari ya kifahari bila kujiuliza, hata mizigo hatujagonga