Wanawake kwa kusengenya.....!!!!!!!

Wanawake kwa kusengenya.....!!!!!!!

aisee kuna ambao bila kusengenya hawapati usingizi, baadhi ya wanawake tumezidi aisee, na usengenyaji mara nyingi huambatana na wivu, tena mkute mna urafiki wa ki group, ndio balaa kabisaaa, wanawake sisi ni kiboko

umeonaa eeee hata kama hupendi kusengenya itabidi japo uwe unachangiachangia azawaisi wewe ndio utaanza kusengenywa maana watasema unajiona keki
 
umbea hutupa afya!
umbea hutupa cheko
umbea hutupa boonge la smile
umbea ndo msingi wa maendeleo yetu
umbea shurti ujue kuuufanya,kuutafuta,kuusambaza,kuukuza,kuuhuisha!
I LOVE BEING A WOMAN!
 
umeonaa eeee hata kama hupendi kusengenya itabidi japo uwe unachangiachangia azawaisi wewe ndio utaanza kusengenywa maana watasema unajiona keki

tuna tabu kwa kweli, halafu sijui ni kwanini kwamba mkiwa ki group mnasengenya/kaanga majungu wote na madai yenu mnaaminiana but utashangaa mliemkaangia majungu yamemfikia chaaaap, bwana mie naonaga ni bora tu nikupe kubwa kila mtu apite kivyake kuliko kwenda kukaanga majungu, naogopa kusutwa mbaya kabisa,na uzee huu aku, ni bora nichuniane na mtu kwa kumpa kubwa kuliko janga la kusutana, mchaga mie nikutane na ishu kama "Gea" si ntazimia mie.
 
Rafiki upooooooo. Its long time aisiiiii. Naogopa kuchangia nisije kutana na mkwe huku.

nipo mpendwa wangu, wewe ndio umepoteaaa, uko poa? hahaha ukamkuta mkwe nae yupo busy kukaanga majungu, kazi kweli kweli
 
hahahahahahahahahahahhahahaahhaahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa jamani Bujibuji Lol!
 
Last edited by a moderator:
Halafu kwa sisi ambao tumekulia mijini, ukienda kijijini huko ndio balaa utasengenywa kwa kilugha hadi ujute
 
Mtani subiri siku moja utakapokupa heart attack...

umbea hutupa afya!
umbea hutupa cheko
umbea hutupa boonge la smile
umbea ndo msingi wa maendeleo yetu
umbea shurti ujue kuuufanya,kuutafuta,kuusambaza,kuukuza,kuuhuisha!
I LOVE BEING A WOMAN!
 
Niko poa sana sema kazi zinatubana muda mwingine tunajibana kwa watwana wetu. unajua nina mama na pia mkwe bila kusahau mke wote ni wanawake sasa hapa nitachangia kuwatusi au?

hauwatusi bali tunaongelea hali halisi, hata mama pia anaweza kuwa anayapika majungu vizuri tu, mie mama mkwe wangu alikuwa mashuhuri kwa majungu lakini tulipopeana"seminar" aaah sasa hivi tupo level kabisa, majungu/kusengenya kwa wanawake hiyo ipo kabisa, haina mama/mkwe/mke/dada
 
hiviii........na wanaume wanaopenda kusengenya tuwaiteje??!?!?
 
hauwatusi bali tunaongelea hali halisi, hata mama pia anaweza kuwa anayapika majungu vizuri tu, mie mama mkwe wangu alikuwa mashuhuri kwa majungu lakini tulipopeana"seminar" aaah sasa hivi tupo level kabisa, majungu/kusengenya kwa wanawake hiyo ipo kabisa, haina mama/mkwe/mke/dada

Ila mbona my wife anapiga umbea ila hapendi kuambiwa huo ni umbea wa wanawake au hulka? Ni rahisi kwa mwanamke kukubali hili kirahisi?
 
Back
Top Bottom