Haha kwa nini ushtuke ukipata huyo anayewahi ?Habari zenu wanajukwaa wa jukwaa pendwa kabisa humu jf.
Wanawake wana tabia moja hivi ambayo nadhan kila mwanaume ana experience from them. Tabia yenyew ni kuchelewa kufika kwnye appointment au outing, unaweza panga kutana na mpenzi wako lets say sa2 usiku ila akaja sa4 ni kawaida au tuseme ni jadi yao.
Binafsi nmetoka na galz tofauti almost wote mkipanga appointment lazma wacheleewe tu,Kwa mwanaume ambae hujawazoea hawa viumbe utaweza kumind kila siku na kupelekea hata kuharibika kwa appointment
Sasa wanaume fanya hvi kama mmepanga kutana usiku sa1 hapo yeye atakuja sa3 na sababu kibao[emoji23][emoji23] sasa hapo wewe ikifika sa12 huo muda mwambie umefika eneo la tukio then mwambie kuna warembo kibaoo kila angle[emoji23] hio itampa hamasa ya kufika haraka au mwambie umefika lakn endelea na mambo yako
Mwanamke akikwambia anajiandaa jua hta kuoga bado, akikwambia anakuja jua ndo anavaa[emoji23][emoji23] ni kucheza na akil zao tu.
Siri ya mwanamke ni kuchelewa na sio kuwai ukiona mwanamke anawai kabl yako lazma ushtuke dadeki huyo sio [emoji23][emoji23]
Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji3] [emoji3]Niache kujipodoa hadi niwe kama mdoli niwahi? [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Miadi ni saa moja, nitaanza kujiandaa kwanzia saa 10 na bado nitachelewa. Kadri muda wa miadi unavokaribia ndio najiona sijapendeza. Ikifika muda wa miadi ndio nafanya maamuzi sasa ya potelea mbali. Narudia kuoga na kuvaa upya maana hiyo mikiki mikiki ya vua vaa tangu saa 10 na jasho limenitoka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye kutunza muda niko vizuri, sikujua kuwa hilo ni tatizo la wanawake pekee.
Niambie sababu ,mimi nina tabia ya kuwahi nijue kama ni vibaya niache [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Niambie sababu ,mimi nina tabia ya kuwahi nijue kama ni vibaya niache [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha eti uprove nambie sababuNtaomba appointment na wewe ili niprove hili au waonaje
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hahaha eti uprove nambie sababu
LolFanya kweli sasa🤦♂️🤦♂️
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwangu mie nacheleweshwa sana na kuchana nywele(kama sijasuka) na nguo,naweza kubadili nguo zaidi ya mara tano
Haifunguki hiyoSema nini fungua pm bhs rafiki yangu [emoji38][emoji38]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Una matatizo kijanaSiri ya mwanamke ni kuchelewa na sio kuwai ukiona mwanamke anawai kabl yako lazma ushtuke dadeki huyo sio![]()
Una matatizo kijana
Haifunguki hiyo