Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,404
- 191,525
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 tabia hii ya kipuuzi imenichelewesha kanisani leoKwangu mie nacheleweshwa sana na kuchana nywele(kama sijasuka) na nguo,naweza kubadili nguo zaidi ya mara tano
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 tabia hii ya kipuuzi imenichelewesha kanisani leoKwangu mie nacheleweshwa sana na kuchana nywele(kama sijasuka) na nguo,naweza kubadili nguo zaidi ya mara tano
Pole sana jaribu kufanya kama mimi almost wiki nzima najuaga ntavaa nguo ipi na ipi
Dawa hujaikosa sema hujataka kuitafuta tu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 tabia hii ya kipuuzi imenichelewesha kanisani leo
inapendeza na jinsi ulivyomzur hakika wakubwa wanafaidiKwangu mie nacheleweshwa sana na kuchana nywele(kama sijasuka) na nguo,naweza kubadili nguo zaidi ya mara tano
Halafu mna tabia moja utakuta mna manguo kibao mengine unamaliza mwaka hujazivaa.😂😂😂😂 kumbe hadi wanaume mnayo hii?
Unakuta niliandaa kila kitu mapema ila inafika muda wa kujiandaa,navaa kabisa ila nabadili mawazo natafuta zingine
Jiamini tu usiwaze sana watu watakuonajeAsante
Hata mie huwa napanga nguo ya kuvaa usiku lakini ndio muda wa kuvaa mambo yanabadilika
Mara nyingi huwa natoa 30 minutes ya kusubir then nasepa na huwa sirud ikizid hapo maana naamin hukuweka umuhimu swala la kuonana...
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana jaribu kufanya kama mimi almost wiki nzima najuaga ntavaa nguo ipi na ipi
Halafu mna tabia moja utakuta mna manguo kibao mengine unamaliza mwaka hujazivaa.
Mimi natoa 15 minutes kinyume na hapo naamini hakuona umuhimu pia akijua natunza muda next time hafanyi ujinga. Yaani apoointment achelewe masaa matatu? Hamna kazi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee huu uchiz sasa[emoji23][emoji23]
Sent from my iPhone using JamiiForums
anadanganya tu mkuu unajua ktk kitu tulichefeli waafrika nikutokujali muda na kama wanaume wote tunafika kwa wkt kwenye miadi basi itakuwa tunapenda sana nyama kuliko kitu chochote
Hua sipendi mlundikano wa vitu visivyotumiwa ndani kwa kweli nikioa mwenye tabia hiyo atapata tabu sana.Si ndio hapo sasa,kabati limejaa ila nguo ya kuvaa tabu
Ndioo maana napendelea wanawake wavaa leggings bila kyupi... Wao fasta tuuu hamna muda wakupoteza.Asante