Hua sipendi mlundikano wa vitu visivyotumiwa ndani kwa kweli nikioa mwenye tabia hiyo atapata tabu sana.
Unakuta mtu kajaza viatu kibao anavyovaaga havizidi 10.
Nguo zimejaa kabati zingine zipo kwenye mabegi na mashangazi kaja. Na bado anaendelea kununua kila fashion zikitoka.
Kinachochekesha siku ukiyamwaga hapo ukimwambia chagua ambazo huziitaji tuzigawe au tuchome moto. Zitazo patikana hazitozidi 10.
Utataka awe na nguo anazovaa tu?hahahah mie navaa nguo na viatu vyote