Wanawake kwa Hili mnatisha sana!!

Wanawake kwa Hili mnatisha sana!!

Suala la kuchelewa nalielewa wala sina hofu nalo hata akichilewa saa saba bado nitasubiri..

Balaa ni kutopatikana wakati wa appointment..ilishawahi kunitokea promise ya kwenda kumchukua mtoto kwao saa nne usiku..akanitel niwait mpaka saa sita watu walale kabisa

Umefika muda mtoto hapatikani ...nikasikilizia mpaka ngoma tisa nikamvutia waya akapokea akasema nilishindwa kutoka afu simu ilizima chaji..nikamwambia bado niko kituo cha daladala nakuwait akasema nipe dakika kumi na tano nakuja hapo

Baada ya muda kuisha hapatikani tena..saa kumi na mbili akaniuliza bado Upo kituoni...nikamtel nipo ghafla akafika nilipo nikachukua goma nikalipeleka chimbo nikala kiroho safi bila kulalama wa kujali..

Baharia hachoki kusubiri mpaka mission itimie..

Sent using Jamii Forums mobile app

Huu Ni usenge
 
Hii ipo tofauti na mimi aisee kwenye appointment na mademu huwa nachelewa kichizi yaani sijui kwanini huwa najivuta vuta kila mara nalaumiwa wana niambia yani wewe kaka muongo muongo ukisema saa 12 ni saa moja na nusu
 
Wakati mwingine huwa hatutaki kuja. Sasa Kuna Ile Kama Hofu hivi nikipotezea Inakuwaje.... Muda wote huo tunakuwa tunawaza.... Niende au niahirishe.... Muda unakwenda hapo. Then Mwanamke anaamua kuja hapo kachelewa masaa 3 toka muda wa ahadi.
 
Niache kujipodoa hadi niwe kama mdoli niwahi? [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Miadi ni saa moja, nitaanza kujiandaa kwanzia saa 10 na bado nitachelewa. Kadri muda wa miadi unavokaribia ndio najiona sijapendeza. Ikifika muda wa miadi ndio nafanya maamuzi sasa ya potelea mbali. Narudia kuoga na kuvaa upya maana hiyo mikiki mikiki ya vua vaa tangu saa 10 na jasho limenitoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mnajipodoa mpaka mnakua feki baki natural utavutia zaidi sio unapoteza muda kujidobeka rangi Kama nyumba
NewHP_Makeup_Enga.jpeg

Niga from Timbuktu
 
Mara nyingi huwa natoa 30 minutes ya kusubir then nasepa na huwa sirud ikizid hapo maana naamin hukuweka umuhimu swala la kuonana...

Sent using Jamii Forums mobile app
Eshima kwako kiongozi.
Mi namtakaga ye ndo Ataje mda. Kisha anaweza kupata daika 5 za dharura. Baada apo nasepa ata cm sishiki wl sireply sms. Anapata fursa ya kuchagua. Kuendana na mm au ashike njia yake “Time z worth”.
 
Tangu nilijue hili haliniumizi tena..

Nikishapanga outings na gals huwa sijiandai mpaka yeye aseme ndio natoka na mimi ndio naenda kuoga..

Mke wangu hapa home tukiwa tunatoka akishamaliza kujiandaa tu mimi ndio naenda kuoga tofauti na hapo utakereka tu maana wao ni late comers/cumers always..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kweli... Duh!! Mie napenda papuchi lakini sual la kusubiria muda wote huo siwezi akizingua naenda kamatia mrembo mwengine najipoza.

Ndo inavotakiwa kabisa[emoji23][emoji23]

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wakati mwingine huwa hatutaki kuja. Sasa Kuna Ile Kama Hofu hivi nikipotezea Inakuwaje.... Muda wote huo tunakuwa tunawaza.... Niende au niahirishe.... Muda unakwenda hapo. Then Mwanamke anaamua kuja hapo kachelewa masaa 3 toka muda wa ahadi.

Unajifikiria appointment kwa mpenz wako serius [emoji848]

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Tangu nilijue hili haliniumizi tena..

Nikishapanga outings na gals huwa sijiandai mpaka yeye aseme ndio natoka na mimi ndio naenda kuoga..

Mke wangu hapa home tukiwa tunatoka akishamaliza kujiandaa tu mimi ndio naenda kuoga tofauti na hapo utakereka tu maana wao ni late comers/cumers always..

Sent using Jamii Forums mobile app

Upo kama mimi mkuu,

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kumbe kuchelewa appointment ni tabia ya kike!! Okey.
 
Haitakiwi iwe hivyo. Wee unamwambia tunatoka saa 2 akizingua unamuacha uone kama ataleta upuuzi tena siku nyingine.

Me sio minder afu[emoji23][emoji23][emoji23]
Akinikera namf** mpaka akimbie

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wakati mwingine huwa hatutaki kuja. Sasa Kuna Ile Kama Hofu hivi nikipotezea Inakuwaje.... Muda wote huo tunakuwa tunawaza.... Niende au niahirishe.... Muda unakwenda hapo. Then Mwanamke anaamua kuja hapo kachelewa masaa 3 toka muda wa ahadi.
Wallahy na kubutii nnakutandikaa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom