Aiyaaa yaaaahSio kwa cheko hilo kuna kitu naja chemba
#shilawadu
Aiyaaa yaaaahSio kwa cheko hilo kuna kitu naja chemba
#shilawadu
Na wajue Mume ni kazi mke ni tabia,wakishafanya kazi lazima wafuate tabia zetu ha ha haUshasema tunawapeleka wapi, hatuwaachi mtaenda tu hata kwa kuburuzwa
Kumbee ila elewa Mwanamke ni tabia na Mwanaume ni kazi sio kulia lia kwa ulalamishiKama wewe upo hivyo basi unatisha maana hiyo ni sifa kuu ya mwanamke malaya.
Sent using Jamii Forums mobile app
ofukoz